Pastor Israel Mpenda

Pastor Israel Mpenda KUSHINDWA KUPANGA NIKUPANGA KUSHINDWA

MUNGU WA MBINGUNI Aibariki siku yako....... Furaha iliyopotea kwako, irudi tena...... Kila kilichokufa , kianze kufufuka...
19/04/2022

MUNGU WA MBINGUNI Aibariki siku yako....... Furaha iliyopotea kwako, irudi tena...... Kila kilichokufa , kianze kufufuka tangu sasa 🙏🙏🙏

23/03/2022

Kwa Neno La KRISTO 💪💪💪

Mpendwa wangu usiache maombi, hata upitie wakati mgumu kiasi gani, Usikubali kuacha maisha ya maombi. Nikuambie tu: Mbin...
19/03/2022

Mpendwa wangu usiache maombi, hata upitie wakati mgumu kiasi gani, Usikubali kuacha maisha ya maombi. Nikuambie tu: Mbinguni hakuna Jalala ya maombi, Maombi yoooote ambayo umewahi kuomba, yapo Mbele Za MUNGU...

K**a uliomba jana, leo omba tena, kesho omba tena, keshokutwa omba tena, usikubali kuacha maisha ya Maombi....... Majibu yako yanakuja

Usicheze na kitu kinaitwa "AMANI YA MOYO".......... Amani ya moyo ni miongoni mwa dalili za mtu aliyebarikiwa.....MUNGU ...
18/03/2022

Usicheze na kitu kinaitwa "AMANI YA MOYO".......... Amani ya moyo ni miongoni mwa dalili za mtu aliyebarikiwa.....

MUNGU WA MBINGUNI Akupe Amani ya Moyo

KWA JINA KUU LA YESU KRISTO, Natangaza, Naninaamini Yakwamba👇👇👇👇👇👇👇▶Utacheka tena▶Utafurahi tena▶Utatabasamu tena▶Utang'...
15/03/2022

KWA JINA KUU LA YESU KRISTO, Natangaza, Naninaamini Yakwamba
👇👇👇👇👇👇👇

▶Utacheka tena
▶Utafurahi tena
▶Utatabasamu tena
▶Utang'aa tena
▶Utapendeza tena
▶Utanawili tena
▶Utashangilia tena
▶Utasifu tena
▶Utaabudu tena
▶Utainuka tena na tena, Na tena, Na tenaaa

Kwenye Biblia hakuna MANENO YA MITUME, bali kuna MATENDO YA MITUME, Inaonyesha kwamba Mitume walifanya kazi kubwa sana.....
10/03/2022

Kwenye Biblia hakuna MANENO YA MITUME, bali kuna MATENDO YA MITUME, Inaonyesha kwamba Mitume walifanya kazi kubwa sana............... Usiwe muongeaji sana, bali Matendo ya kweli Yaonekane 💪💪

ZABURI: 119:11Moyoni mwangu nimeliweka neno lako, Nisije nikakutenda dhambi.Nakutakia Jumanne NjemaMungu Akubariki Sana🙏
08/03/2022

ZABURI: 119:11Moyoni mwangu nimeliweka neno lako,
Nisije nikakutenda dhambi.

Nakutakia Jumanne Njema

Mungu Akubariki Sana🙏

Siku yako ibarikiwe, Uingiapo na utokapo Ubarikiwe........Mwezi huu, Usikubali kutembea na maneno, tembea na NENO, usite...
02/03/2022

Siku yako ibarikiwe, Uingiapo na utokapo Ubarikiwe........

Mwezi huu, Usikubali kutembea na maneno, tembea na NENO, usitembee na walisema, tembea na ALISEMA, Maana Aliyesema ni Mkuu sana kuliko waliosema..

GOD IS GOOD🙏Neema Ya MUNGU Iwe juu yako Mwezi huu wa tatu, Upokee habari njema, ukutane na marafiki wema, ufanye kazi nz...
01/03/2022

GOD IS GOOD🙏

Neema Ya MUNGU Iwe juu yako Mwezi huu wa tatu, Upokee habari njema, ukutane na marafiki wema, ufanye kazi nzuri........ Watu wabaya wasikusogelee hata kidogo. MUNGU WA MBINGUNI Akulinde Wewe na Nyumba yako

Amani Ya BWANA Iwe Kwako usiku na mchana......... Ishi Baraka Za BWANA Uingiapo na Utokapo 🙏🙏🙏
25/02/2022

Amani Ya BWANA Iwe Kwako usiku na mchana......... Ishi Baraka Za BWANA Uingiapo na Utokapo 🙏🙏🙏

 : 3: 26 Kwa kuwa Bwana atakuwa tumaini lako, Naye atakulinda mguu wako usinaswe.
19/02/2022

: 3: 26 Kwa kuwa Bwana atakuwa tumaini lako, Naye atakulinda mguu wako usinaswe.

📃✍ Mambo mengine yape mgongo { Yapuuze tu } Kisha endelea na safari. Ukianza kuskiliza kila kitu, Utachelewa........ Kaz...
17/02/2022

📃✍ Mambo mengine yape mgongo { Yapuuze tu } Kisha endelea na safari. Ukianza kuskiliza kila kitu, Utachelewa........ Kaza mwendo, Safari bado ndefu Shujaa

Address

Kilimanjaro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pastor Israel Mpenda posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share