Kilimanjaro Community Church

Kilimanjaro Community Church Upendo Ndio Pumzi Yetu.

Wakazi wa Moshi-Kilimanjaro na viunga vyake Ni Alhamisi hii Washindi tunakutana kwenye semina ya Neno la Mungu hapa Mawe...
11/07/2022

Wakazi wa Moshi-Kilimanjaro na viunga vyake Ni Alhamisi hii Washindi tunakutana kwenye semina ya Neno la Mungu hapa Mawela Hall Ushirika wa neema hakuna kiingilio, Waleteni wagonjwa na wenye udhaifu wa kila mamna Mungu atawaponya.

Lushoto Lushoto Jioni ya leo Mafundisho ya Neno la Mungu yanaendelea tena pamoja na Maombi na maombezi kwa watu wote. Tu...
19/06/2022

Lushoto Lushoto Jioni ya leo Mafundisho ya Neno la Mungu yanaendelea tena pamoja na Maombi na maombezi kwa watu wote. Tukutane EAGT MAKIMBILIO.

Asante Nyingi kwa mwenyeji wetu na Rafiki yetu Arusha Moriah Pentecostal church Ngusero "BISHOP MBANDO"Mungu wa Bwana Ye...
09/06/2022

Asante Nyingi kwa mwenyeji wetu na Rafiki yetu Arusha Moriah Pentecostal church Ngusero "BISHOP MBANDO"
Mungu wa Bwana Yesu Kristo akupe umri mrefu ya kuendelea kutolea vijana katika Kristo Yesu.

Thank you Arusha Mungu awabariki sanaa Hakika tulitembea uweponi mwa Kristo Yesu na maisha ya watu yalihudumiwa.
07/06/2022

Thank you Arusha Mungu awabariki sanaa Hakika tulitembea uweponi mwa Kristo Yesu na maisha ya watu yalihudumiwa.

Baada ya Moshi sasa ni Zamu ya Arusha, wakati wa urejesho Tarehe 03/06/2022 tukutane Ngusero(MORIAH PENTEKOSTE) Kurejesh...
31/05/2022

Baada ya Moshi sasa ni Zamu ya Arusha, wakati wa urejesho Tarehe 03/06/2022 tukutane Ngusero(MORIAH PENTEKOSTE) Kurejesha nafasi zetu zilizoporwa na adui. watatuongoza katika sifa Bishop. Mbando na watatulisha chakula cha Neno la Mungu. Muda ni saa 2 usiku mpaka kuche.

Kesho RESTORATION OF WORSHIP SEASON 03, Mungu ameahidi kurejesha kila stahiki iliyotekwa na adui kwenye maisha yako na k...
07/05/2022

Kesho RESTORATION OF WORSHIP SEASON 03, Mungu ameahidi kurejesha kila stahiki iliyotekwa na adui kwenye maisha yako na kukupa ongezeko na kila atakae fika MAWELA HALL ushirika wa neema-MOSHI (kuanzia saa 2:00 asubuhi ibada ya asubuhi kisha saa 10:00 Jioni ibada ya kumsifu na kuabudu) atapata urejesho wake.
Karibuni sana

Hello Mtu wa Mungu, Kilimanjaro na viunga vyake Leo ni siku nyingine tena tunahudumiwa na Mungu Hapa MAWELA HALL  ushiri...
06/05/2022

Hello Mtu wa Mungu, Kilimanjaro na viunga vyake Leo ni siku nyingine tena tunahudumiwa na Mungu Hapa MAWELA HALL ushirika wa neema moshi. Karibu sana tushiriki pamoja maarifa ya Mungu na baraka zinazoambatana nayo. Saa 10 kamili jioni tunaanza

Tarehe 8/5/2022 Restoration of Worship Sesson III.  ,  na wengine wengi watakuwepo kutuhudumia Na hakika Mungu mwenye at...
20/04/2022

Tarehe 8/5/2022 Restoration of Worship Sesson III.
, na wengine wengi watakuwepo kutuhudumia Na hakika Mungu mwenye atakuwepo kutuhudumia.

18/02/2022
Today is the day to be healed
13/02/2022

Today is the day to be healed

Karibu sana kwenye kipindi cha saa ya Ushindi kinachoruka kuanzia saa 21:00 usiku hadi saa 22:00 .7_moshi
07/02/2022

Karibu sana kwenye kipindi cha saa ya Ushindi kinachoruka kuanzia saa 21:00 usiku hadi saa 22:00 .7_moshi

Njia rahisi ya kuepukana na maisha ya mashaka mashaka ni kuzuia hofu isiyatawale maisha yako.
08/12/2021

Njia rahisi ya kuepukana na maisha ya mashaka mashaka ni kuzuia hofu isiyatawale maisha yako.

Address

Kilimanjaro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kilimanjaro Community Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Kilimanjaro Community Church:

Share