Safina Victory Church.

Safina Victory Church. Ilianzakama K**a huduma ya Maombi na Maombezi, mwaka 2005, na Nabii Meshack John Punkanya. Lakini kwa miujiza ya Mungu akiwa na umri wa miaka 14:

21/08/2016
20/08/2016
14/08/2016

Karibuni Wote Siku zote za Juma katika Ibada ya Jioni Ianzayo Saa Kumi hadi saa Kumi na Mbili...Jioni.

Ibada ya Jumapili nikwanzia saa Tatu Asubuhi hadi saa Saba Mchana....

Siku ya Alhamis na Jumamosi tutakuwa na Mkeshe nda ya Kanisa Letu, wote Mnakaribishwa Ili tuweze Kuiona Neema, Nguvu, na Baraka za Bwana zikitenda Mambo Makuu Katika Maisha Yetu.....

Hatubagui Dini wala Dhehebu Njoo na Mungu Atakuinua... Njoo wewe Mama Usiye pata mtoto, Njoo wewe Mwenye Uvimbe, Kisukari, Ukimwi, Cancer, Masumbuko ya Wachawi, Majini, Mapepo, Mizimu, n. k.
Na Mungu Ataonekana Kwenu..... Njoo wewe na mwenzako, Jirani yako, Ndugu, Jamaa na Marafiki ili mpate kuiona Neema ya Bwana Ikifanya Kazi Katika Maisha Yenu.....

Wasiliana nasi kwa Maelezo zaidi kwa Simu namba 0743892867.....
Tupo Maeneo ya Majengo-Mwanga.... Kigoma-Tanzania......
Mungu na Akubariki......

Address

Majengo-Mwanga
Kigoma

Telephone

0743892867

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Safina Victory Church. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category