16/07/2024
Jumapili, 21 julai 2024 ‘’MALI YA YESU KRISTO’’
Ujumbe: « Ubatizo unaashiria mwanzo wa maisha mapya pamoja na Kristo. »
Andiko: MATENDO YA MITUME 8:36-38
‘’Wakawa wakiendelea njiani, wakafika mahali penye maji; yule towashi akasema, tazama, maji haya; ni nini kinachonizuia nisibatizwe? Akaamuru lile gari lisimame; wakateremka wote wawili majini, Filipo na yule towashi; naye akambatiza.’’