New HOPE YOUTH GROUP

New HOPE YOUTH GROUP "In His name the nations will put their hope" Mt. 12:21

Habari🤗. Kesho k**a (jumamosi) utakuwa kigoma mjini, ni nafasi nzuri sana ya ku ungana nasi katika kipindi cha vijana ku...
11/06/2021

Habari🤗. Kesho k**a (jumamosi) utakuwa kigoma mjini, ni nafasi nzuri sana ya ku ungana nasi katika kipindi cha vijana kuanzia saa 3:00 asubui mpaka saa 6:00 mchana. TUNAKUKARIBISHA SANA. Mahali ni HOPE OF THE NATIONS karibia na Bima ya zamani, ama wasiliana nasi kwa mawasiliano kwenye ukurasa wetu.

Jumamosi iliyopita ilikuwa yakipekee, kukutania ufukweni mwa   ikatupa wakati mzuri wakuzungumza kumuhusu Mungu, ujana w...
07/06/2021

Jumamosi iliyopita ilikuwa yakipekee, kukutania ufukweni mwa ikatupa wakati mzuri wakuzungumza kumuhusu Mungu, ujana wetu na maisha yetu kiujumla.



Address

LUMUMBA
Kigoma

Telephone

+255621036343

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when New HOPE YOUTH GROUP posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share