FPCT Mwandiga Updates

FPCT Mwandiga Updates Kanisa lipo Njiapanda ya Kasulu, Mwandiga, Kigoma. Ungana nasi kila Jumanne, alhamisi na Jumapili.

Save the date
22/05/2026

Save the date


21/05/2026
16/05/2026
Ujumbe wa Leo kutoka FPCT KIWALANI Dar es salaamTUKUBALI NA KUTII
05/05/2026

Ujumbe wa Leo kutoka FPCT KIWALANI Dar es salaam
TUKUBALI NA KUTII

23/04/2026
"Haijalishi uko duniani au unazunguka Mwezi, Kila mtu anamuhitaji Yesu" Victor Glover mmoja kati ya watu waliosafiri na ...
12/04/2026

"Haijalishi uko duniani au unazunguka Mwezi, Kila mtu anamuhitaji Yesu" Victor Glover mmoja kati ya watu waliosafiri na NASA kwenda mwezini.

Alikubali kuteswa kwa ajili yanguSikustahili kuitwa mtoto wa MunguSikustahili kupata Uzima wa mileleAsante Yesu kwa kuni...
05/04/2026

Alikubali kuteswa kwa ajili yangu
Sikustahili kuitwa mtoto wa Mungu
Sikustahili kupata Uzima wa milele
Asante Yesu kwa kunikomboa

Amefufuka kweli kweli 🔥 🙏

HISTORIAEneo hili lenye ukubwa wa hekari 30 lilimilikiwa na Mwami LUSIMBI wa Kalinzi aliyetawala hadi KIGOMA. Kilima hik...
29/03/2026

HISTORIA
Eneo hili lenye ukubwa wa hekari 30 lilimilikiwa na Mwami LUSIMBI wa Kalinzi aliyetawala hadi KIGOMA. Kilima hiki Cha Bigabiro kilikuwa chini ya mtawala wa eneo dogo, mtwale SABHUMWE kabla ya kuuzwa kwa missionary ALFRED KRISTENSON na ELNA KRISTENSON kutoka STOCKHOLM SWEDEN 1936. Kilima hiki hapo awali kilitumika k**a msitu wa kujifichia machifu wakati wa vita za kikabila na sehemu maalumu ya ibada za asili. Mahali hapa Leo, ni kitovu Cha Upentekoste Tanzania.

Wakati wetu vijana ni sasaTuko tayari kumtangaza Yesu
29/03/2026

Wakati wetu vijana ni sasa
Tuko tayari kumtangaza Yesu

26/03/2026

Kuna kitu Cha kujifunza hapa ✍️ Sikiliza mpaka mwisho

Address

Kigoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FPCT Mwandiga Updates posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to FPCT Mwandiga Updates:

Share