Mwongozo SDA Church

Mwongozo SDA Church Karibu kwenye ukurasa rasmi wa kanisa la Waadventista wa sabato Mwongozo.

Hapa utapata taarifa mbalimbali kulihusu Kanisa, Utume wake, Huduma za Ibada na Maombi, pamoja na Matukio mengine mbalimbali.

04/08/2026
04/08/2026

Unapotumia muda wako, uwezo wako, au hata neno la faraja kuwainua, kuwafariji, na kuwashika mkono wale waliochoka Mungu mwenyewe anachukua jukumu la kukubariki na kukuinua kwa viwango vya juu zaidi.

📍

Kwaya mbalimbali zikimtukuza Mungu katika Makambi Mtaa wa Mwongozo
03/08/2026

Kwaya mbalimbali zikimtukuza Mungu katika Makambi Mtaa wa Mwongozo

03/08/2026

Moja ya vipindi vilivyokuwa na baraka tele na ushirika wa dhati ni pale tulipoketi pamoja kuzunguka Moto wa Kambi
​Nyimbo za utulivu, shuhuda, na maombi ya usiku chini ya mwanga wa moto zimeacha alama kubwa mioyoni mwetu.
Moto huu haukutoa tu joto la mwili, bali ulisukuma joto la upendo na umoja katikati yetu!
​📌 K**a bado hujafika kambini, hakikisha hupitwi na vipindi hivi vya usiku!

📍

The Sabbath Band wakimtukuza Mungu kwenye Makambi ya Mtaa wa MwongozoKaribu sana ubarikiwe
02/08/2026

The Sabbath Band wakimtukuza Mungu kwenye Makambi ya Mtaa wa Mwongozo
Karibu sana ubarikiwe

02/08/2026

Tunamshukuru Mungu kwa ufunguzi wa kipekee,Barikiwa na wimbo huu wa Geza Gospel Friends.
Leo tunaendelea na mfululizo wa baraka hapa viwanjani Mwongozo. Ratiba ya masomo, mafundisho ya familia, na vipindi vya uimbaji viko tayari kwa ajili yako.

📍

31/07/2026

Tayari ndugu zetu Uenezaji Gospel Choir kutoka Congo wamewasili salama, na jioni ya leo, mioyo yetu imeguswa na kubarikiwa sana kupitia wimbo wao wenye ujumbe mzito: "Sitakosa Mbinguni, maana makao yameandaliwa kwa ajili yangu."
Je, wewe utakosa baraka hizi?
​Karibu sana kesho kwa mfululizo wa baraka tele zaidi kuanzia ibada za asubuhi. Wahi mapema na uje na familia yako!
​Tukutane Mwongozo kesho!

📍
✨️

📍 MAELEKEZO YA NJIA: JINSI YA KUFIKA MWONGOZO MAKAMBI 2026! ✨️​K**a ulikuwa unawaza au unajiuliza utafikaje Mwongozo kwe...
31/07/2026

📍 MAELEKEZO YA NJIA: JINSI YA KUFIKA MWONGOZO MAKAMBI 2026!
✨️​K**a ulikuwa unawaza au unajiuliza utafikaje Mwongozo kwenye viwanja vyetu vya Makambi mwaka huu, hapa ndipo urahisi unapoanzia!
📌​Tazama poster hapo juu kupata mchanganuo wa njia na alama kuu za kukusaidia kufika salama bila kupotea.
KARIBU SANA MWONGOZO SDA

📍
✨️

Address

Kigamboni

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwongozo SDA Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Mwongozo SDA Church:

Shortcuts

Share