25/03/2022
Joshua 1:7
Uwehodari tu na shujaa mwingi,
Mungu anamtumia mtu alie naushujaa asie Kua nahofu ndani yake, Ushindi wako uko katika kuona umeshinda vita kabla ya mapambano mungu hajawai mtumia mtu muoga, Inua Imani yako Utashinda kwako Hakuna kufeli, vaa roho ya uhodari utafanikiwa