Kanisa la Waadventista Wasabato Mailimoja

Kanisa la Waadventista Wasabato Mailimoja Kanisa la Waadventista wa Sabato Mailimoja liko umbali wa mita 900 kutoka barabara kuu ya Morogoro, eneo la Mailimoja Shule, mtaa wa Mailimoja, Kibaha, Pwani.

Karibu tumwabudu MUNGU pamoja!

MUNGU atukuzwe kwa kazi nzuri ya uimbaji!
17/03/2023

MUNGU atukuzwe kwa kazi nzuri ya uimbaji!

Huu ni moja ya wimbo bora sana kuwahi kuimbwa na kwaya ya Kanisa la Waadventista wa Sabato Mailimoja. Kaa mmkao wa kula maana albamu nzima inakuja iliyoshehe...

Hili ni juma la Matendo ya Huruma kwa Kanisa ulimwenguni kote, jihusishe uwe sehemu ya waliogusa roho za wahitaji!
17/03/2023

Hili ni juma la Matendo ya Huruma kwa Kanisa ulimwenguni kote, jihusishe uwe sehemu ya waliogusa roho za wahitaji!

26/04/2017

Semina za AMR katika kanisa la Mailimoja zitaanza tarehe 26-04-2017 kuanzia saa 10:30 jioni. Semina hizi zimechelewa kuanza kutokana na msiba uliokuwa umejitokeza! Nyote mnaalikwa kuhuduria. Kwa maelezo zaidi wasilina na karani wa kanisa la Mailimoja!

https://www.youtube.com/watch?v=zV6dE9R8RbA
27/12/2016

https://www.youtube.com/watch?v=zV6dE9R8RbA

Kandokando Ya Bahari ni wimbo ambao unapatikana katika santuri ya Mailimoja SDA Choir inayoitwa Wana Heri. Tembelea tovuti ya Mailimoja SDA Church kwa mawasi...

Address

Kibaha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kanisa la Waadventista Wasabato Mailimoja posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share