St. John Marie Vianei Union Of Kibaha ZONE 'A'

St. John Marie Vianei Union Of Kibaha ZONE 'A' All information and daily ongoing activities of TYCS St. John Marie Vianei Union Of Kibaha Zone 'A'

24/03/2017

Officially, Tunapenda kuwatangazia wana Mapendo wote wa Kanda ya Kibaha 'A' kuwa...... Tareh 26/03/2016 Tunategemea kuwaaga Kaka zetu wa kidato cha sita katika mahafali yatakayo fanyika katika Ukumbi wa Bertil merlin ndani ya Shirika la Elimu la Kibaha huku yakitanguliwa na Misa takatifu.
nyote wana Mapendo
Wabariki kaka zetu, MUNGU yabariki Mahafali yetu.....!!!!!

01/03/2017

Tumsifu Yesu kristo...
Leo ni jumatano ya majivu
Tunapoingia katika kipind hiki cha kwaresma hatuna budi kujiepusha na dhambi ya aina yoyote kwani ni kipindi cha kumrudia Mungu na kuomba msamaha pale tulipomkosea.
Tumsifu Yesu Kristo...
YCS mapendo...

Tunashukuru sana viongozi na wana Mapendo kwa ujumla kwa kuhudhuria semina iliyoongozwa na viongozi toka Jimboni na Taif...
19/02/2017

Tunashukuru sana viongozi na wana Mapendo kwa ujumla kwa kuhudhuria semina iliyoongozwa na viongozi toka Jimboni na Taifa, Tuzidi dumisha mapendo na Tumuombe Mungu azidi kuibariki Kanda yetu.

19/02/2017

It was Real Amaizing!!! Jaman Wana Ycs wote tuzidi Kuonesha mwamko wa kushiriki matukio ya kanda.

12/02/2017

Wanamapendo tuzidi kujitahidi kujitoa kwa ajili ya ufanikishaji wa Sherehe ya kaka zetu kidato cha sita, Mungu awe nasi na atujalie nguvu na uwezo tujitoe ili tarehe 26 March iwe yenye kumpendeza kila mmoja wetu atakaye hudhuria eneo la ukumbi wa Bertil Merin.

12/02/2017

Tarehe 18 ya mwezi huu kutakuwa na Semina kwa wanakanda na Ycs kwa ujumla kutoka Jimboni, itafanyika Parokiani Tumbi kunzia saa tatu asubuhi. Tujitahidi kuhudhuria kwani sisi ndio walengwa.

12/02/2017

Mapendo wana mapendo, Tumshukuru Mungu kwa kuzidi kutujalia baraka kila kunapoitwa leo! Tuzidi kuiombea nchi yetu Amani na Imani miongoni mwetu izidi kukomaa kweli kweli..... Siku njema na Mungu atujalie yale yote tumwombayo kwa Imani.

20/11/2016

Lets not forget to forgive and ask for Forgiveness, He who created us is MERCY!! He will forgive us our with Sins... Jumapili njema Wana Mapendo......

All information and daily ongoing activities of TYCS St. John Marie Vianei Union Of Kibaha Zone 'A'

Finally we would like to say thank you first to the Almighty God kwa kutusaidia kuandaa shughuli hii pia kwa mgeni rasmi...
08/10/2016

Finally we would like to say thank you first to the Almighty God kwa kutusaidia kuandaa shughuli hii pia kwa mgeni rasmi Mr.Dismas, walezi kanda Madam Anatory na Mr.Mashimba,wageni wote waalikwa na all Y.C.S members mliojitokeza kuwaaga form four. we can call the graduation that it was awesome EVER!!

Never expect to see that crowd of people! thank you ww uliyefika kwenye sherehe yetu.
08/10/2016

Never expect to see that crowd of people! thank you ww uliyefika kwenye sherehe yetu.

MC Temba katika ubora wake! Asante kaka kwa kushare muda wako na sisi # T.Y.C.S Kibaha zone A
08/10/2016

MC Temba katika ubora wake! Asante kaka kwa kushare muda wako na sisi # T.Y.C.S Kibaha zone A

Thanks dad for your time # mr. Dismas
08/10/2016

Thanks dad for your time # mr. Dismas

Address

TYCS Kibaha Zone 'A'
Kibaha
30053

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when St. John Marie Vianei Union Of Kibaha ZONE 'A' posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share