Impact your Generation Muac

Impact your Generation Muac Know the Truth of the word of God
listen - Understand - Do

IMPACT YOUR GENERATION 2018
06/11/2018

IMPACT YOUR GENERATION 2018

IMPACT YOUR GENERATION 2018.Tunapenda kuchukua fulsa hii ya pekee kuwakaribisha vijana wote walio nje na ndani ya Nchi y...
16/08/2018

IMPACT YOUR GENERATION 2018.

Tunapenda kuchukua fulsa hii ya pekee kuwakaribisha vijana wote walio nje na ndani ya Nchi ya Tanzania katika kongamano kubwa la vijana litakalo fanyika Tarehe 12 hadi 16 mwezi wa 9 mwaka huu 2018. Mahali:- kibaha, Mlandizi, mkabala na Ruvu J.K.T. ( MAUC ) - Mission to the Unreached Areas Church. Kujisajili ni sh. 10,000/= tu. Malazi na chakula vitatolewa bure kwa wanasemina wote walio jisajili kwa siku zote nne. Hii sio yakukosa kwaajili ya Afya njema ya roho yako na maarifa yatakayo kuweka huru nakubadilisha maisha yako.
Msingi ni kuishi Tabia za Kristo kwa kuijua kweli na kuishi kweli hizo na kweli hiyo ni Neno la Kristo litakalo kuwezesha kuleta athari njema kwenye kizazi chako na Neema ya Mungu itakuwa pamoja wewe.
( SIKIA - ELEWA - FANYIA KAZI )

Msiige tabia na mienendo ya dunia hii bali mbadilishwe, nia zenu zikifanywa kuwa mpya, ili mpate kuwa na hakika ni nini mapenzi ya Mungu: yaliyo mema, yanayopendeza machoni pake na makamilifu ( Warumi 12:2 ).
kwa mawasiliano zaidi pia simu namba:-
+255712122140 / +255769725471.
KARIBUNI SANA.
MBARIKIWE NA BWANA.

14/08/2018

Impact Your Generation 2017.

Miundo tofautitofauti ya Round Band Mpya zilizo beba kauli mbiu ya Kongamano IMPACT YOUR GENERATION, linalo fanyika kila...
02/08/2018

Miundo tofautitofauti ya Round Band Mpya zilizo beba kauli mbiu ya Kongamano IMPACT YOUR GENERATION, linalo fanyika kila mwaka mwezi wa tisa, MLANDIZI, PWANI Mkabala na Ruvu J.K.T, ( MUAC - Mission to the Unreached Areas Church ) .
ROUND BAND moja ni sh. 2,000/= tu. Round band hizi zina Andiko la Kongamano toka kitabu cha (LUKA 12:2) pamoja na kauli mbiu.
Tafadili zingatia Hili :- Hizi Round Band sio za upako wala hazija pakwa mafuta bali nikibao au kauli mbiu kwamba k**a kijana lazima ulete athari njema kwenye jamii yako sawasawa na Neno la Mungu linavyo tuongoza maana Neno la Mungu ndio Sura halisi ya Kristo katika maisha yetu.

Nunua sasa pia unaruhusiwa kumnunulia na mwingine.
- 0712122140, - 0769725471

Do not conform to the pattern of this world, but be transformed by the renewing of your mind. Then you will be able to t...
11/06/2018

Do not conform to the pattern of this world, but be transformed by the renewing of your mind. Then you will be able to test and approve what God’s will is—his good, pleasing and perfect will.

24/04/2018
Impact your Generation Muac mwaka 2017.Usikose mwaka huu 2018 mwezi wa Tisa.Njoo ujue kweli za Neno la Mungu zitakazo ba...
26/03/2018

Impact your Generation Muac mwaka 2017.
Usikose mwaka huu 2018 mwezi wa Tisa.
Njoo ujue kweli za Neno la Mungu zitakazo badilisha maisha yako na kizazi chako.
Mahali:- Kibaha - Mlandizi - Mkabala na Ruvu J.K.T

Address

Kibaha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Impact your Generation Muac posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share