T.A.G Kwa Mathias Nazareth

T.A.G Kwa Mathias Nazareth T.A.G is the Christian center located at Kibaha Coastal Region Tanzania it is a Pentecost Church

19/04/2026

PASTOR NJOKA .
NAWABARIKI NA KUWATAKIA BARAKA ZOTE

Viongozi wetu Mungu awe pamoja katika Safari nyingine ya kulitumikia KANISA letu pendwa La TAG
15/08/2024

Viongozi wetu Mungu awe pamoja katika Safari nyingine ya kulitumikia KANISA letu pendwa La TAG

Mwananazareth Hakuna kubaki Nyuma wote Taifa Kwa maadhimisho ya Tag miaka 85
03/07/2024

Mwananazareth Hakuna kubaki Nyuma wote Taifa Kwa maadhimisho ya Tag miaka 85

Leo Ni sikukuu ya CMF, wanaume wameazimisha sikukuu yao nzuli leo hakika Mungu azidi kuwainua wanaume wa TAG kwa Matias ...
07/05/2023

Leo Ni sikukuu ya CMF, wanaume wameazimisha sikukuu yao nzuli leo hakika Mungu azidi kuwainua wanaume wa TAG kwa Matias mbele yao ni mchungaji kiongozi Eliudi njoka. Na mchungaji msaidi Kristina njoka 👏👏👏👏👏 Tunamtaka Bwana na Nguvu zake....

07/10/2021

BWANA YESU ASIFIWE WA WA MUNGU
TUNAWAPENDA WOTE NA MUNGU AKAWAPE HITAJI LA MIOYO YENU .AMINA

WAZAZI WETU WA KIROHO WAKIWA PAMOJA NA WAUMINI WA TAG KWA MATHIAS KWA PAMOJA TUNAZIDI KUWAOMBEA
07/10/2021

WAZAZI WETU WA KIROHO WAKIWA PAMOJA NA WAUMINI WA TAG KWA MATHIAS KWA PAMOJA TUNAZIDI KUWAOMBEA

11/08/2020

MCHUNGAJI KIONGOZI PASTOR NJOKA

Address

Tagkwamathias@gmail. Com
Kibaha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when T.A.G Kwa Mathias Nazareth posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share