Madhabahu Inayojibu Kwa MOTO

Madhabahu Inayojibu Kwa MOTO Mathayo 11:28
Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.

Kwa nini Uteseke? Yesu ni jibu na ni Ukombozi wa Ulimwengu, njoo sasa kwani asema “Mathayo 11:28 Njoni kwangu, ninyi nyo...
17/11/2022

Kwa nini Uteseke? Yesu ni jibu na ni Ukombozi wa Ulimwengu, njoo sasa kwani asema
“Mathayo 11:28 Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.”

Kila mchawi anayetaabisha Maisha yako atapigwa kwa 🔥🙏🏼
17/11/2022

Kila mchawi anayetaabisha Maisha yako atapigwa kwa 🔥🙏🏼

Damu ya Yesu itakuponya wewe na Familia Yako
17/11/2022

Damu ya Yesu itakuponya wewe na Familia Yako

Kila kifungo cha Maisha yako Kitaachia Kwa Jina la Yesu🙏🏼
17/11/2022

Kila kifungo cha Maisha yako Kitaachia Kwa Jina la Yesu🙏🏼

17/11/2022

Tazama Jinsi Nguvu ya Mungu inaponya watu wanaosumbuliwa na vifungo vya Kichawi😱…. Kila mmoja anafunguliwa na kupokea uponyaji🙏🏼🙏🏼🙏🏼

Kila Adui anayesimama kutaka kukuangamiza anateketea kwa moto k**a vile hizi karatasi zinavyoungua maana imeandikwaWaebr...
17/10/2022

Kila Adui anayesimama kutaka kukuangamiza anateketea kwa moto k**a vile hizi karatasi zinavyoungua maana imeandikwa
Waebrania 12:29 maana Mungu wetu ni moto ulao.

Vifungo vilivyofungwa kwenye Maisha yako vinaachia kwa Jina la Yesu
17/10/2022

Vifungo vilivyofungwa kwenye Maisha yako vinaachia kwa Jina la Yesu

Nguvu za Giza hazina Mamlaka ya kutawala maisha yako…..Yesu anaponya🙏🏼
17/10/2022

Nguvu za Giza hazina Mamlaka ya kutawala maisha yako…..Yesu anaponya🙏🏼

Tazama Yesu anakuita Njoo utue mzigo wako Mathayo 11:28 Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo,...
17/10/2022

Tazama Yesu anakuita Njoo utue mzigo wako

Mathayo 11:28 Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.

Watu wote watauona Mkono wa Bwana Mungu wetu kupitia Mtumishi wake Nabii Yusuph
17/10/2022

Watu wote watauona Mkono wa Bwana Mungu wetu kupitia Mtumishi wake Nabii Yusuph

Address

Mlandizi
Kibaha

Opening Hours

09:00 - 13:00

Telephone

+255718617421

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Madhabahu Inayojibu Kwa MOTO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share