Prc. Kongowe_Kibaha

Prc. Kongowe_Kibaha NJOO UPOKEE MUUJIZA WAKO HOSPITALI YA ROHO MTAKATIFU.

27/05/2025

NI ZAMU YA KONGOWE

IBADA NZURI IMEAMBATANA NA UGAWAJI WA  VYETI VYA UBATIZO
20/04/2025

IBADA NZURI IMEAMBATANA NA UGAWAJI WA VYETI VYA UBATIZO

MITHALI 22:6
09/03/2025

MITHALI 22:6

06/07/2023

Utukufu kwa JEHOVA
Kutoa ni baraka kuliko kupokea asnte Mungu uliyetuwezesha kukamirisha huduma hii🙏

Tar 5/7/23 Huduma ya kukabidhi madawati katika shule ya Mwambisi   Kutoka PRC Kongowe asnteni kwa maomb yenu ..🙏🙏
05/07/2023

Tar 5/7/23
Huduma ya kukabidhi madawati katika shule ya Mwambisi Kutoka PRC Kongowe asnteni kwa maomb yenu ..🙏🙏

18/09/2022

Mwendelezo wa somo la KUSIKIA KUMEBEBA MAJIBU
JUU YA: NAFASI INAKUPA HESHIMA Leo tar 18/9/2022

28/08/2022

Somo:KUSIKIA KUMEBEBA MUUJIZA WAKO
BY MCH: JOSEPH SANGA

28/08/2022

Karibu katika ibada ya leo tar 28/8/2022 hapa P.R.C Kongowe kibaha

08/05/2022

Karibu katika ibada ya jumapili hapa P.R.C REVIVAL KONGOWE na mama Askofu ODIAH NJENI.
Somo: marko 11:14

Mchungaji Joseph Sanga pamoja mama mchungaji wanawakaribisha watu wote kesho  jumapili tarehe 1/8/2021 kwenye ibada hapa...
31/07/2021

Mchungaji Joseph Sanga pamoja mama mchungaji wanawakaribisha watu wote kesho jumapili tarehe 1/8/2021 kwenye ibada hapa Pentecostal Revival centre itakayoanza saa 2:00 asubuhi Hadi 7:00 mchana, njoo tumwabudu Bwana kwa pamoja.

16/06/2021

Tumefungua ukurasa wa Facebook wa kanisa letu pendwa la Bethshaza Revival na tutakuwa tunaonekana duniani kote kupitia Facebook na jina la Mungu litainuliwa milele daima.

Address

Kongowe
Kibaha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Prc. Kongowe_Kibaha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share