Christ Labourers Church

Christ Labourers Church Located at Visiga, Pwani Region

Asante Askofu Dr Livingston Denis kwa Semina ambayo umetufundisha, Hakika ilikuwa ya baraka sana na Mungu akubariki sana...
21/01/2026

Asante Askofu Dr Livingston Denis kwa Semina ambayo umetufundisha, Hakika ilikuwa ya baraka sana na Mungu akubariki sana ๐Ÿ™๐Ÿ™

Enendeni ulimwenguni kote mka hubiri injili, ikawe Kheri katika majukumu yenu  ya kihuduma. YouTube ni Vincent Komba min...
20/01/2026

Enendeni ulimwenguni kote mka hubiri injili, ikawe Kheri katika majukumu yenu ya kihuduma.

YouTube ni Vincent Komba ministry

Hii ni link ya video ya mahafali iliyo fanyika. https://youtu.be/9JNz9uQsJiI

19/01/2026

Asanteni sana๐Ÿ™๐Ÿ™. Hakika tulikuwa na wakati mzuri sana ๐ŸคTuna watakia Kheri katika Huduma zote mtakazo zifanya.

18/01/2026

๐ŸŽ“๐Ÿ“– Mahafali yamefanyika kwa mafanikio.
โ€œNendeni ulimwenguni mwote mkaihubiri Injiliโ€ (Marko 16:15)

Chuo kinawatangazia rasmi kufanyika kwa mahafali ya 4 hapa chuo Cha potter's.Chuo kinajivunia kuwa sehemu ya safari ya m...
14/01/2026

Chuo kinawatangazia rasmi kufanyika kwa mahafali ya 4 hapa chuo Cha potter's.
Chuo kinajivunia kuwa sehemu ya safari ya mafanikio ya wahitimu wetu.
Hongera kwa darasa la mwaka ๐ŸŽ“ 2025.

Celebrating Achievement โ€ข Honoring Excellence โ€ข Shaping the Future

10/01/2026

Toka mahali pa kupokea tu Anza kuwa msaada kwa wengine, wa tie MOYO ,wasaidie, wainue wengine kwa connection Yako.

Ukiingia kwenye Maombi waombee wengine na Mungu akiona hivyo atakujaza atakuamini kwa hazina yake.

10/01/2026

Mwenye kuzini na azidi kuzini na mwenye kujitakasa azidi kujitakasa. mtunze yesu Saa inakuja.

09/01/2026

Maisha Yana madaraja.

08/01/2026

Maisha ya YESU haya kuwa ya kawaida

08/01/2026

Unataka ISHARA MIUJIZA na MAAJABU fanya kitu .

07/01/2026

Hakuna muujiza wa uponyaji k**a hakuna jaribu la ugonjwa.

06/01/2026

Tumeupokea mwaka kwa namna ya tofauti sana.

Address

Visiga
Kibaha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Christ Labourers Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share