Sayuni Gospel Miracle Church Maili Moja

Sayuni Gospel Miracle Church Maili Moja SAYUNI

SHALOM SAHALOM HUDUMA YA SAYUNI GOSPEL MIRACLE TUNAWAKARIBISHA WOTE KWENYE SEMINA KUBWA YA NENO LA MUNGU.TUPO MAILI MOJA...
12/01/2023

SHALOM SAHALOM

HUDUMA YA SAYUNI GOSPEL MIRACLE TUNAWAKARIBISHA WOTE KWENYE SEMINA KUBWA YA NENO LA MUNGU.

TUPO MAILI MOJA KARIBU NA STAND YA LOLIONDO 👇👇👇

09/01/2023
SHALOM SHALOM, HUDUMA YA SAYUNI GOSPEL MIRACLE TUMEKUANDALIA MKESHA MKUBWA WA KUVUKA MWAKA 2022 KWENDA  2023....HII SIO ...
30/12/2022

SHALOM SHALOM, HUDUMA YA SAYUNI GOSPEL MIRACLE TUMEKUANDALIA MKESHA MKUBWA WA KUVUKA MWAKA 2022 KWENDA 2023....

HII SIO YA KUKOSA MPENDWA!!!

TUKO MAILI MOJA KARIBU NA STANDI YA LOLIONDO.

SHALOM SAYUNI GOSPEL MIRACLE MUNGU ametupa neema, tumefungua kituo kingine katika mji wa  GREEN CITY mkoani Pwani. kwa j...
06/05/2022

SHALOM

SAYUNI GOSPEL MIRACLE MUNGU ametupa neema, tumefungua kituo kingine katika mji wa GREEN CITY mkoani Pwani. kwa jina lingine panaitwa MASHAMBA POLI.

Katika mji huu huduma yetu itasimamiwa na watumishi wa MUNGU Mchungaji Abeli Ngowi pamoja na Mama Mchungaji.

wewe ambae ni mwenyeji na wote walio jirani na mji huu, SAYUNI GOSPEL MIRACLE tunakukaribisha sana sana. njoo tumwabudu MUNGU ALIYE HAI.

RATIBA ZA IBADA

juma tano saa 4:30 jioni hadi 6:00 jioni, ni ibada ya mafundisho ya biblia ikiambatana na maombi na maombezi na ushauri.

Ijumaa saa 4:30 jioni hadi 6:00 jioni, ni ibada ya maombi na maombezi kwa wenye shida mbali mbali.

Jumapili saa 3:00 asububi hadi 1:00 mcha ni ibada ya jumalipi.

Karibuni watu wote, na waleteni wenye shida mbali mbali upo uponyaji kwa ajili yenu.

SHALOM SHALOM HUDUMA YA SAYUNI GOSPEL MIRACLE tunakualika kwenye semina ya neno la MUMGU  kuanzia kesho jumatano ya tare...
26/04/2022

SHALOM SHALOM

HUDUMA YA SAYUNI GOSPEL MIRACLE tunakualika kwenye semina ya neno la MUMGU
kuanzia kesho jumatano ya tarehe 26/4/2022 hadi jumapili tarehe 1/5/2022.

semina itakua inaanza saa tisa kamili ya jioni hadi saa kumi na mbili ya jioni. kutakua na kwaya na waimbaji binafs watakuwepo.

wote wanao sumbuliwa au kuteswa na magonjwa na matatizo mbali mbali, yupo YESU anae toa uponyaji. karibuni sana...tunapatikana maili moja karibu na stendi ya loliondo.

SAYUNI GOSPEL MIRACLE Tupo maili moja jilani  na stendi ya loliondo.RATIBA ZA IBADAJuma tano saa 4:30 jioni hadi 6:00 ji...
28/03/2022

SAYUNI GOSPEL MIRACLE

Tupo maili moja jilani na stendi ya loliondo.

RATIBA ZA IBADA
Juma tano saa 4:30 jioni hadi 6:00 jioni, ni ibada ya mafundisho ya biblia ikiambatana na maombi na maombezi na ushauri.

Ijumaa saa 4:30 jioni hadi 6:00 jioni, ni ibada ya maombi na maombezi kwa wenye shida mbali mbali.

Jumapili saa 8:00 asububi hadi 1:00 mcha ni ibada.

Karibuni watu wote, na waleteni wenye shida mbali mbali upo uponyaji kwa ajili yenu.

BAADA YA IBADA TUKAINGIA KWENYE UBATIZOHakika tumemwona MUNGU akiwafungua watu na kuwaweka huru wakati wa ubatizo.Karibu...
06/03/2022

BAADA YA IBADA TUKAINGIA KWENYE UBATIZO

Hakika tumemwona MUNGU akiwafungua watu na kuwaweka huru wakati wa ubatizo.

Karibuni sana watu wote tunapatikana maili moja karibu na stand ya loliondo.

RATIBA ZA IBADA

juma tano saa 4:30 jioni hadi 6:00 jioni, ni ibada ya mafundisho ya biblia ikiambatana na maombi na maombezi na ushauri.

Ijumaa saa 4:30 jioni hadi 6:00 jioni, ni ibada ya maombi na maombezi kwa wenye shida mbali mbali.

Jumapili saa 8:00 asububi hadi 1:00 mcha ni ibada.

Karibuni watu wote, na waleteni wenye shida mbali mbali upo uponyaji kwa ajili yenu.

06/03/2022
Leo katika ibada tumebarikiwa sana na waimbaji mbali mbali walio tutembelea...wakiongozwa na Mama Dani (aliye imba wimbo...
06/03/2022

Leo katika ibada tumebarikiwa sana na waimbaji mbali mbali walio tutembelea...wakiongozwa na Mama Dani (aliye imba wimbo wa chaguo lako)

06/03/2022

Leo katika ibada watu wakimtolea MUNGU.

27/02/2022

Wakati wa ibada ya vijana jioni alifundisha madam Monica, kwakweli vijana wamebarikiwa.

Kulia ni dada ambae MUNGU amemtendea mambo makuu akimshukuru MUNGU. na kushoto ni pastor Eliya nae akimshukuru MUNGU kwa...
27/02/2022

Kulia ni dada ambae MUNGU amemtendea mambo makuu akimshukuru MUNGU. na kushoto ni pastor Eliya nae akimshukuru MUNGU kwa kumwezesha kutimiza nadhili yake ya kujenga kanisa.

Address

Kibaha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sayuni Gospel Miracle Church Maili Moja posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share