Shiloh United World Wide Ministries-Mlandizi

Shiloh United World Wide Ministries-Mlandizi Welcome and experience prophetic power of God through wiseman John Stanley

28/07/2022

DON'T MISS ITS TODAY

Shalom!shalomKaribu uabudu nasi
09/07/2022

Shalom!shalom

Karibu uabudu nasi

MUNGU ametupa neema tena kuwa mbele zake kupata nguvu za kumaliza nusu ya pili ya mwaka,karibu tuombe kwa pamoja.
01/07/2022

MUNGU ametupa neema tena kuwa mbele zake kupata nguvu za kumaliza nusu ya pili ya mwaka,karibu tuombe kwa pamoja.

Shiloh United Worldwide Ministry-mlandizi inayofuraha kumtakia heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mbeba MAONO wa huduma ...
25/05/2022

Shiloh United Worldwide Ministry-mlandizi inayofuraha kumtakia heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mbeba MAONO wa huduma hii prophet Dominic Mwinyuka,
3:20 ni fungu lako enjoy your day father.

06/01/2022
I prophecy a supernatural speed of GOD is about to hit your life.
03/01/2022

I prophecy a supernatural speed of GOD is about to hit your life.

MATUKIO MUHIMU 2021Pamoja na milima na mabonde mengi katika safari ya huduma ambayo Mungu amenipa lakini amenifanya nije...
30/12/2021

MATUKIO MUHIMU 2021
Pamoja na milima na mabonde mengi katika safari ya huduma ambayo Mungu amenipa lakini amenifanya nijenge ngome imara sana hapa pwani Mlandizi na kuniweka kuwa mbeba Maono ya huduma ya shiloh-mlandizi kwa uangalizi wa baba yangu prophet D.M


MATUKIO MUHIMU 2021Pamoja na safari kukubwa na dhoruba na tufani nyingi katika huduma Shiloh family imebaki kuwa nguzo i...
30/12/2021

MATUKIO MUHIMU 2021
Pamoja na safari kukubwa na dhoruba na tufani nyingi katika huduma Shiloh family imebaki kuwa nguzo imara na mwamba kwangu usiyotikiswa na kitu chochote ikiongozwa na baba wa MASHUJAA prophet D.M
Shiloh son&daughter ni family ambayo sijutii kuwa nayo.


Matukio muhimu 2021Pamoja na mambo mengi ya kukatisha tamaa bado Mungu wa baba yangu prophet D.M alinipa nafasi ya kuong...
30/12/2021

Matukio muhimu 2021
Pamoja na mambo mengi ya kukatisha tamaa bado Mungu wa baba yangu prophet D.M alinipa nafasi ya kuongeza maarifa,uelewa na hekima na ujuzi katika Mungu.

Address

Mlandizi
Kibaha

Telephone

+255714432262

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shiloh United World Wide Ministries-Mlandizi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Shiloh United World Wide Ministries-Mlandizi:

Share