Arise and Shine Tanzania

Arise and Shine Tanzania Official page of Arise and shine Tanzania

(13.07.2026) MONDAY SERVICEMaombezi uponyaji na kufunguliwa. Tufuatilie kupitia vyombo vyetu vya habari. Arise and shine...
13/07/2026

(13.07.2026) MONDAY SERVICE
Maombezi uponyaji na kufunguliwa. Tufuatilie kupitia vyombo vyetu vya habari. Arise and shine tv redio zetu zote pamoja na mitando ya kijamii. Mtume Bulldozer Mwamposa atakuombea na utafunguliwa popote ulipo kwani Mungu wetu hazuiliwi na umbali.

Usikose Miracle Monday kupitia zoom meeting
13/07/2026

Usikose Miracle Monday kupitia zoom meeting

13/07/2026

IBADA YA MAOMBI, MAOMBEZI NA KUFUNGULIWA (MIRACLE MONDAY).

WAKATI WA SALABaba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe,Ufalme wako uje, Mapenzi yako yatimizwe, hapaduniani k**a hu...
13/07/2026

WAKATI WA SALA
Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe,
Ufalme wako uje, Mapenzi yako yatimizwe, hapa
duniani k**a huko mbinguni. Utupe leo riziki yetu.
Utusamehe makosa yetu, k**a nasi tunavyo
wasamehe walio tukosea. Usitutie majaribuni, bali
utuokoe na kila yule mwovu. [Kwa kuwa ufalme ni
wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina.]
RUDIA MANENO HAYA MARA 7

13/07/2026

OPERATION KOMBOA FAMILIA (MAOMBI 12)

13/07/2026

OPERATION KOMBOA FAMILIA (MAOMBI 12)

12/07/2026

MAOMBI NA KUFUNGULIWA

12/07/2026

OPERATION KOMBOA FAMILIA (MAOMBI 12)

Address

Kawe
Kawe
14121

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Arise and Shine Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share