Mwamposa Live

Mwamposa Live The Official page for Apostle Boniface Mwamposa Bulldozer.
(3)

27/08/2026

MAOMBI NA KUFUNGULIWA

Laana ni jeshi lisiloonekana linaloshambulia maisha ya mtu na kuhakikishaHupandi kokoteNa maisha yako yaishe vibaya.Baad...
27/08/2026

Laana ni jeshi lisiloonekana linaloshambulia maisha ya mtu na kuhakikisha
Hupandi kokote

Na maisha yako yaishe vibaya.

Baada ya maombi ya leo naomba baraka ziwe juu yako na familia yako.

1samweli 10:1

Mipaka tuliyo nayo ni ya kawaida lakini katika ulimwengu wa roho hakuna mipakaNkatika injili hakuna mipaka ya Kenya na T...
27/08/2026

Mipaka tuliyo nayo ni ya kawaida lakini katika ulimwengu wa roho hakuna mipaka

Nkatika injili hakuna mipaka ya Kenya na Tanzania wote tunapokea injili moja na wote tunaponywa

Injili ni zaidi ya dunia inavyoendeshwa

K**a kuna watu walitumwa kwako kuharibu nimekuja kukuponya,kukufungua na kukuinua.

27/08/2026

OPERATION KOMBOA FAMILIA (MAOMBI 12)

27/08/2026

MATENDO MAKUU YA MUNGU

Tunaposema mungu ni lazima tujue ni mungu yupi mana hata katika maandiko kulikuwa na miungu mingi.Tunamdhibitisha kwa ku...
27/08/2026

Tunaposema mungu ni lazima tujue ni mungu yupi mana hata katika maandiko kulikuwa na miungu mingi.

Tunamdhibitisha kwa kuona mkono wake ukitenda miujiza

Na tunapolijua hilo tunapata faida kujua ni mungu yupi,na yupo karibu
Hutaishi kwa shida na hutokuwa na maswali

Leo nimekuja kusema maswali yako yameisha.

Maandalizi ya kuelekea katika kongamano kubwa la washa taa mkoa wa Arusha - Namanga27/6/2026Mtume alitua Namanga  kwa he...
27/08/2026

Maandalizi ya kuelekea katika kongamano kubwa la washa taa mkoa wa Arusha - Namanga
27/6/2026

Mtume alitua Namanga kwa helkopta na kulakiwa na umati wa wakazi wa maeneo hayo kwa kishindo

Mungu awabariki wote mliofika katika mkutano huu

Mungu amenipa kibali cha kuwa hapa.

27/08/2026

Mapokezi Ya Apostle Bulldozer Mwamposa Kwenye Uwanja Wa Eworendeke. Uvamizi wa Namanga Uwanja Wa shule ya msingi Namanga A Umeanza

27/08/2026

KUELEKEA KONGAMANO KUBWA LA MALANGO YAKO KUFUNGUKA - ARUSHA

27/08/2026

OPERATION KOMBOA FAMILIA (MAOMBI 12)

Address

A104
Kawe

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwamposa Live posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Mwamposa Live:

Shortcuts

Share