Efatha Church - Katesh

Efatha Church - Katesh In shirika La kidini

Happy anniversary (4yrs)to us my long LIFE My LOVE...WE ARE EMANUEL.
07/03/2024

Happy anniversary (4yrs)to us my long LIFE My LOVE...WE ARE EMANUEL.

14/12/2020
14/12/2020

IBADA YA JUMAPILI TAREHE 13/12/2020 – KANISA LA EFATHA MWENGE
MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA.

SILAHA AMBAYO IBILISI ATATUMIA KUKUMALIZA.

1. UPWEKE NA KUACHWA

Ibilisi atatumia Upweke na kuachwa, ili kukuchinja. Ukiwa peke yako inamaana kuwa uko mwenyewe, na ukiwa umeachwa maana yake umetelekezwa yaani umetengwa.

• Upweke au kutengwa siyo kuzuri, ukiwa katika hiyo hali chochote chaweza kukutokea kwa wepesi na ni rahisi kwa ibilisi kukukandamiza . Mtu akiwa katika hali hii ni rahisi kushambuliwa na magonjwa na maradhi mbali mbali

• Kitu cha hatari katika dunia hii siyo kukosa pesa bali ni upweke, unaweza ukawa na kila kitu lakini ukiwa na upweke vitu vyote vitaishia kuchukuliwa

Upweke unaweza kufanya kitu gani?
Mwanzo 4:13-14 “Kaini akamwambia Bwana, Adhabu yangu imenikulia kubwa, haichukuliki. Tazama, umenifukuza leo katika uso wa ardhi, nitasitirika mbali na uso wako, nami nitakuwa mtoro na mtu asiye na kikao duniani; hata itakuwa kila anionaye ataniua.” Upweke ni ishara ya laana au adhabu, ni vyema kumuadhibu mtu kwa viboko kuliko kumuacha awe pekeyake. Upweke unaitesa akili na moyo, upweke ni aina ya jela.

Unapokuwa mpweke mambo haya yatakujia moja kwa moja:-

1. “Tazama, umenifukuza leo katika uso wa ardhi” Unakuwa mbali na urithi wako, hauwezi kurithi chochote, hii inamaana kuwa chochote utendacho hautapata kitu, watu wengi wako huku duniani lakini ni wa pweke, utajuaje? Hawamiliki chochote. Wakati wengine wanachanua wao ni vurugu na wanapambana ili maisha yapate kwenda mbele

2. “Nitasitirika mbali na uso wako,” Wenye upweke mara zote huwa wanajificha mbali hawataki kuonekana maana yake wapo mbali na uwepo wa Mungu, unajuaje? Haijalishi wanaomba kiasi gani hakuna majibu kwao

3. “Nami nitakuwa mtoro na mtu asiye na kikao duniani;” hana kitu maalum cha kufanya, anaweza akawa na biashara hii leo kesho ana biashara nyingine. Wapweke hawana kikao maalum, leo amepanga nyumba hii kesho anahama anapanga mahali pengine

4. “Hata itakuwa kila anionaye ataniua” Upweke unamuweka mtu katika hatari ya kuuawa, anaweza kuua au kuuawawa.
K**a wewe ni mpweke ni rahisi kwako kuua au kuuwawa, Kaini aliua kwa nini? Kwa sababu Mungu hakuitakabari dhabihu yake kwa hiyo akaghadhibika hivyo akaua

K**a unaye Mungu ndani yako kwanza kabisa tutaona pendo ndani yako, k**a unaye Mungu maana yake unayo kweli ndani yako, kwa hiyo unasema kile ulichonacho ndani ya moyo wako yaani unasema iliyo kweli.

Utajuaje kuwa huyu mtu ni mpweke? Utaona hana msamaha, anataliki kwa sababu ni mpweke.

14/12/2020

JUMATATU YAKO IMEBARIKIWA.

Mwanangu fuata Maelekezo; Mafanikio hutokana na Juhudi katika Kazi, Mtu anapofuata Maelekezo ya kufanya Mambo ili yapate kutokea huingia katika hatua ya Ustawi.

BWANA nakushukuru, Asante kwa Pendo lako, Sitakuwa k**a nilivyokuwa, Asante YESU.

14/12/2020

SUNDAY SERVICE 13.12.2020 EFATHA CHURCH MWENGE, DAR ES SALAAM TANZANIA.
APOSTLE AND PROPHET JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA

NEW TESTAMENT AND OLD TESTAMENT.

The New Testament removes a person from the day and brings him to the season, that is, he is the one who commands the day and not the day that commands a person to eat or wear what one commands.
Make sure the environment does not command you but you order it, the weather does not tell you today I will stop but you are the one to order it, the mosquito does not tell you that today I will put you to bed but you are the one ordering him to stay away from you.

Exodus 25:16 "And he said unto them, If thou wilt hearken unto the voice of the LORD thy God, and do that which is right in his sight, and to hearken unto his voice, and to keep his commandments, I will not bring upon thee any of the diseases of Egypt; for I am the Lord that healeth thee. ”

The New Testament has changed your day and has given you the authority to command your day to go. The day does not make you a way to live but you are the one who has to make it a way to do it, but why does the day command you? It is because of sin, that sin has brought you to the place of the day to command you.
You worry about life and borrow and you end up in debt every corner because of what? Sin !, because of that you have failed to own your day.

14/12/2020

SUNDAY SERVICE 13.12.2020 EFATHA CHURCH, DAR ES SALAAM TANZANIA

APOSTLE AND PROPHET JOSEPHAT E. MWINGIRA

"THE WEAPON THAT THE DEVIL WILL USE TO END YOU"

1. LONELINESS AND ABANDONMENT
The devil will use Loneliness and abandonment, to kill you. Being alone means that you are on your own, and being left means you have been abandoned.
• Loneliness or abundance is not good, in that case anything can happen to you easily and it is easy for the devil to oppress you. When a person is in this situation it is easy to be attacked by various diseases and witches.

• The most dangerous thing in this world is not lack of money but loneliness, you may have everything but if you are lonely everything will end up being taken away.

What can loneliness do?
Genesis 4:13-14 “And Cain said unto the Lord, My punishment is greater than I can bear. Behold, thou hast driven me out this day from the face of the earth; and from thy face shall I be hid; and I shall be a fugitive and a vagabond in the earth; so that every one that seeth me shall slay me.”

Loneliness is a sign of a curse or punishment, it is better to punish a person with lashes than to leave him alone. Loneliness afflicts the mind and heart, loneliness is a kind of imprisonment.

When you are lonely these things will come to you automatically: -
1. "Behold, thou hast driven me out this day from the face of the earth."
They do not own anything. When others blossoming they are violent and fight for life to move forward.

2. "I will be hidden from your face."
Lonely people always hide away and do not want to be seen, which means they are far from the presence of God, how do you know? No matter how much they ask there is no answer for them.

3. "And I shall be a fugitive and a vagabond in the earth;"
He has nothing special to do, he may have this business today tomorrow he has another business. Lonely people do not have a special session, today he has planned this house tomorrow he is moving he is planning elsewhere.

4. "Even if anyone sees me he will kill me" Loneliness puts a person at risk of being killed, he can be killed or kill.
If you are lonely it is easy for you to kill or be killed, why did Cain kill? Because God did not accept his sacrifice, He became angry and killed.

If you have God in you first of all we will see love in you, if you have God it means you have the truth in you, so you say what you have in your heart that is you say the truth.

How will you know that this person is lonely? You will find he is unforgiving and divorced.

13/12/2020

UPONYAJI WA MZALIWA WA KWANZA.

Mzaliwa wa kwanza katika familia asipotakaswa ni vigumu sana kubarikiwa na Mungu kwa sababu amebeba tabia za uzaliwa wa kwanza wa yule wa kiroho. Anaweza kuwa katili kuliko ndugu zake au akawa na bumbuwazi la moyo. Mambo yake huwa magumu wakati wote.

Anapaswa kupelekwa madhabahuni kwa Bwana kutakaswa ili aweze kutimiza makusudi ya Mungu katika maisha yake. K**a mzaliwa wa kwanza hakupelekwa tangu utoto ajipeleke mwenyewe mbele za Bwana kwa utakaso ili atembee naye ( Kutoka 11:1,4-5; Kutoka 13:1-2).

Roho ya kaka mkubwa kwa mzaliwa wa kwanza nilazima iangamie ili mapenzi ya Mungu yatimie kwake apate kuchanua. Hivyo basi, amruhusu Mungu ashughulikie hiyo roho itoke ndani yake.

MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA - KANISA LA EFATHA.

PSLAM 20:25-26Kwako zinatoka sifa zanguKatika kusanyiko kubwa.Nitaziondoa nadhiri zanguMbele yao wamchao.26 Wapole watak...
15/10/2020

PSLAM 20:25-26

Kwako zinatoka sifa zanguKatika kusanyiko kubwa.Nitaziondoa nadhiri zanguMbele yao wamchao.26 Wapole watakula na kushiba,Wamtafutao BWANA watamsifu;Mioyo yenu na iishi milele

25 From you comes my praise in the great assembly; I will pay my vows before those who fear him. 26: The meek shall eat and be satisfied: they shall praise the LORD that seek him: your heart shall live for ever

© MCH : EMANUEL ROMLI

Address

Njake
Katesh

Telephone

+255685095360

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Efatha Church - Katesh posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share