P.A.G -Katesh

P.A.G -Katesh Karibu katika Page yetu ya Kanisa, Kanisa linapatikana Katesh mjini mkabala na ofisi za Takukuru Katesh. Kanisa ina Ibada mbili (2):
1.

Ibada ya kwanza inaanza saa 1:00 asubuhi na
2. Ibada ya pili inaanza saa 4:00 asubuhi
Karibu/Karibuni sana

13/05/2026

✨ UWAPO WA MUNGU P.A.G KATESH ✨
PRAISE AND WORSHIP 10-05-2026

"Huwezi kuelezea kwa maneno, inabidi utazame mwenyewe! πŸ”₯Ibada ya Jumapili ilikuwa ya moto na baraka tele. Mungu ni mwema kila wakati! ❀️
Tazama, Like, na uandike 'AMINA' chini. "

13/05/2026

NENO LA MUNGU LINA NGUVU YA KUBADILISHA MAISHA

Je, unahitaji neno la faraja au mwongozo katika wiki yako? Tunakuletea ujumbe huu wa nguvu kutoka katika Ibada yetu ya Jumapili. Mungu alizungumza nasi kwa namna ya kipekee kupitia mtumishi wake. πŸ“–
Sikiliza ujumbe huu, na ninaamini hautabaki k**a ulivyokuwa. Mungu akubariki unapotafakari neno hili.
πŸ’¬ Tuandikie 'AMINA' k**a neno hili limekugusa.
πŸ“ P.A.G Katesh – Hanang
ZaJumapili

04/05/2026

πŸ”₯ PRAISE & WORSHIP – P.A.G KATESH HANANG πŸ”₯

Muda wa kumsifu na kumwabudu Mungu kwa moyo wa kweli πŸ™Œ
Ibada ilijaa furaha, uwepo wa Mungu, na nyimbo za kuinua roho zetu juu zaidi.

β€œBwana anakaa katikati ya sifa za watu wake” – tuendelee kumsifu daima!

πŸ“ P.A.G Katesh – Hanang
πŸŽ₯ Tazama na ubarikiwe

04/05/2026

✨ IBADA YA JUMAPILI LIVE – KATESH HANANG ✨

Karibu uungane nasi katika ibada ya Jumapili iliyojaa uwepo wa Mungu, sifa na kuabudu kwa moyo wote πŸ™Œ
Tulibarikiwa kwa nyimbo za kuhamasisha roho, neno lenye nguvu, na ushirika wa waumini waliokusanyika kwa upendo.

πŸ“… Tarehe: 03/05/2026
πŸ“ P.A.G Katesh, Hanang

Ahsante kwa wote mliohudhuria na waliotuunga mkono kupitia matangazo ya moja kwa moja. Mungu aendelee kuwabariki na kuwaimarisha πŸ™

26/04/2026

Karibu katika ibada ya nguvu ya Jumapili mchana katika PAG Katesh πŸ”₯. Huu ni muda wa sifa, maombi na Neno la Mungu tunapoungana pamoja kumtafuta Bwana. Ungana nasi moja kwa moja na upokee baraka tele

26/04/2026

Mhubiri: Herberti John

20/04/2026

P.A.G-Katesh
Feb/19/2026
Neno la Mungu
Mhubiri Bishop Philipo Siasi

19/04/2026

PAG Katesh
February 19/2026
Ibada ya Pili
Prays And Worship

19/04/2026

PAG Katesh
April 19/2026
Arise And Shine Kwaya
Wimbo: Hayupo Kaburini

19/04/2026

PAG Katesh
April 19/2026
Arise And Shine Kwaya
Wimbo: Upendo wake Yesu

17/04/2026

I got over 400 reactions on one of my posts last week! Thanks everyone for your support! πŸŽ‰

Address

Katesh
270301

Telephone

+255786644777

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when P.A.G -Katesh posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share