06/10/2019
Ombea watu hawa ni mke na mme wamekubali kumpa Yesu maisha (kuokoka) leo 6/10/2019 kwenye ibada
Ulimwengu tulionao bila kuwa na sapoti kutoka kwa YESU KRISTO huwezi kushinda ili uweze kushinda k**a hujaokoka basi tafuta kuokoka Mapema sana.
Kagunga
Kasulu
Be the first to know and let us send you an email when Fpct Kasulu Mission Gospel Department posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.