Wateule Wa Bwana-Kasulu

Wateule Wa Bwana-Kasulu Mathayo 6: 33- Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa. Church Kasulu. Muda: 4:30 Jioni hadi saa 6:30 Jioni.

Huu ni Ukura wetu wa facebook wa tawi la Kanisa la Uamusho la Wateule wa Bwana au The Lords Chosen Revival C. Kwa Niaba ya Mchangaji Mwanaglizi wa Tanzania Pastor Christopher Maduka na Mwanaglizi wa Makanisa yote ya The Lords Chosen Pastor and GO LAZARUS MUOKA Tunapenda kukukaribisha kwenye Ibada zetu, Hakika hutajutia muda wako kwa neno na huduma ya maombezi utakayohudumiwa. Ratiba za Ibada:
Juma

pili-Ni Ibada ya Kumwabudu Mungu na Kujifunza neno la Mungu kwa kina. Muda: 9:00 Asubuhi hadi Saa 2:00 Mchana

Jumanne:-Ni Ibada ya Saa ya Uamusho - Utajifunza neno la Mungu la wokovu na
maombi pia. Alhamisi:-Ni Ibada ya Ushauri na Kufunguliwa-Utajifunza mbinu mbalimbali za
kumshinda shetani ili kuweza kupokea kutoka kwa bwana
Muda: 4:30 Jioni hadi saa 6:30 Jioni.
********************************************************************************

15/11/2021

Bwana amefungua mlango uliokuwa umefungu kwa muda mrefu.

It was a wonderful moment.
15/11/2021

It was a wonderful moment.

10/11/2021
03/05/2021

Pamoja na yote tunayopitia watoto wa Mungu tujipe moyo na kuvuilia ili tusitoke katika msitari na kukosa mema aliyotukusudia Bwana Yesu.katika hayo unayopiti...

23/04/2021

Watu wa Mungu ili kuweza kuona tunaishindania imani waliokabidhiwa watakatifu imetupasa kuwa waaminifu- Karibu

23/04/2021

Watu wa Mungu ili kuweza kuona tunaishindania imani waliokabidhiwa watakatifu imetupasa kuwa waaminifu- Karibu

21/04/2021

Ungana na Wateule hawa kuihubiri injili ya Bwana wakati huu wa kumalizia-Karibu.

21/04/2021

Ungana na Wateule hawa kuihubiri injili ya Bwana wakati huu wa kumalizia-Karibu.

20/04/2021

Mathayo 24: 13-Lakini mwenye kuvumilia hata mwisho, ndiye atakayeokoka. Tunaishi majira/Nyakati za hatari k**a yanenavyo maandiko ambako kanisa linapitia changamoto nyingi za roho zipotezazo na mafundisho ya mashetani, hivyo fuatana nami katika mahubiri haya ili kujua ni kwa jinsi gani tunaweza kuvulimia mpaka mwisho na hatimaye kupata neema ya kumwona Bwana.

Mwisho wa somo hili hautabaki k**a ulivyokuwa-Karibu

Address

Kasulu
00000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wateule Wa Bwana-Kasulu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Wateule Wa Bwana-Kasulu:

Share