20/09/2021
Chakula chochote chaweza kuliwa lakini chakula kingine ni kizuri kuliko kingine. K**a ulimi upimavyo aina za mionjo ya vyakula ndivyo na mwenye akili agunduavyo maneno ya uongo.Mwenye akili potovu husababisha huzuni lakini mwenye uzoefu wa maisha atamlipa inavyofaa.