Reef of worship

Reef of worship We sing for Jesus

Utukufu kwa Mungu
16/08/2021

Utukufu kwa Mungu

Picha na matukio katika ibada katika kanisa la New life Church Chamanzi( Reef of Worship )
16/08/2021

Picha na matukio katika ibada katika kanisa la New life Church Chamanzi( Reef of Worship )

Baadhi ya picha na matukio
16/08/2021

Baadhi ya picha na matukio

Reef of Worship team,ni kikundi cha uimbaji kinachomtukuza Mungu kupitia uimbaji(live),tunapenda kukukaribisha wewe amba...
16/08/2021

Reef of Worship team,ni kikundi cha uimbaji kinachomtukuza Mungu kupitia uimbaji(live),tunapenda kukukaribisha wewe ambae unatamani kujiunga ili uwe mmoja wa familia hii kujiunga ni bure unaweza kucoment hapo chini namba yako ili tufanye mawasiliano na wewe,karibuni sana tunapatikana mbagala

15/08/2021

Karibu kwenye page yetu ya Reef of Worship sisi ni kikundi cha uimbaji kinachomtukuza Mungu kwa njia ya uimbaji (live music) tunapokea mialiko ya matukio ya kila aina na tunakwenda popote pale lengo la ukurasa huu ni kushea na wewe yale ambayo Mungu atatupa kibali cha kushea na wewe kwa mawasiliano unaweza kuwasiliana nasi kwa kupitia +255 686 720 123 au 0769455954 tupo mbagala,karibu sana

Address

Kariakoo

Telephone

+255673421253

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Reef of worship posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share