KKKT Usharika Wa Kariakoo

KKKT Usharika Wa Kariakoo Usharika wa Kariakoo upo chini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania. Ni moja ya sharika zilizopo katika Jimbo La kati, Dayosisi ya Mashariki na Pwani.

Usharika wa kariakoo upo katika eneo maarufu la biashara yaani soko la Kariakoo.

Jumapili hii..Karibuni sana
18/04/2023

Jumapili hii..Karibuni sana

Unaalikwa  ibadani kesho.. Masomo Zab.119:17-24,Ef 2:18-22, Yn.21:1-14
15/04/2023

Unaalikwa ibadani kesho.. Masomo Zab.119:17-24,Ef 2:18-22, Yn.21:1-14

Leo Jumatatu ya  Pasaka: Mimi namkataa shetani na kazi zake zote na mambo yake yote , najitoa kuwa wako, Ee Mungu Baba n...
10/04/2023

Leo Jumatatu ya Pasaka: Mimi namkataa shetani na kazi zake zote na mambo yake yote , najitoa kuwa wako, Ee Mungu Baba na mwana na Roho mtakatifu , nikutegemee , nikutumikie kwa uaminifu hata nitakapokufa .Amen.

Jumatatu ya Pasaka- Tembea na Yesu ngome ya mhitaji katika dhiki yake. Masomo Zab 89:1-8,LK 24:34-43, Isa 25:1-5
10/04/2023

Jumatatu ya Pasaka- Tembea na Yesu ngome ya mhitaji katika dhiki yake. Masomo Zab 89:1-8,LK 24:34-43, Isa 25:1-5

Yesu Kristo ni mshindi wa dhambi na Mauti ni mwaliko kwa wakristo kumdhihirisha katika maisha yao. YESU AMEFUFUKA! HALEL...
09/04/2023

Yesu Kristo ni mshindi wa dhambi na Mauti ni mwaliko kwa wakristo kumdhihirisha katika maisha yao. YESU AMEFUFUKA! HALELUYA. Masomo Zab.119:65-72, LK.24:1-12, 1Kor.15:12-19

Ijumaa Kuu: Kanisa linaadhimisha mateso na kifo cha Kristo Yesu Msalabani. Masomo: Zab.88:1-8, Isa.53:1-7,MK 15:21-37
07/04/2023

Ijumaa Kuu: Kanisa linaadhimisha mateso na kifo cha Kristo Yesu Msalabani. Masomo: Zab.88:1-8, Isa.53:1-7,MK 15:21-37

Tuko kwenye juma Takatifu.. huo ndio utaratibu wa ibada.
04/04/2023

Tuko kwenye juma Takatifu.. huo ndio utaratibu wa ibada.

Misumari isiyoonekana (Invicible nails): Yesu aliposulubiwa msalabani kuna misumari ya kuonekana lakini ipo mingine moja...
21/03/2023

Misumari isiyoonekana (Invicible nails):

Yesu aliposulubiwa msalabani kuna misumari ya kuonekana lakini ipo mingine mojawapo ni msumari wa Upendo.

MCH. Fupe yuko youtube anafundisha.

Fanya cha Mungu; naye atafanya cha kwako. Kwa pamoja tunaweza twendeni, Haya twendeni.
01/02/2023

Fanya cha Mungu; naye atafanya cha kwako. Kwa pamoja tunaweza twendeni, Haya twendeni.

Kesho ni Siku ya BWANA ya nne Katika Majilio, Bwana Yu Karibu. Zab 109:21-27; Yn.1:6-8; 2Kor 4:5-6..ibada saa 12 na saa ...
17/12/2022

Kesho ni Siku ya BWANA ya nne Katika Majilio, Bwana Yu Karibu. Zab 109:21-27; Yn.1:6-8; 2Kor 4:5-6..ibada saa 12 na saa 1:30 Asubuhi..wote mnaalikwap

Neema ya Bwana Yesu Kristo, na pendo la Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu ukae nanyi nyote .2 Kor 13:14
30/11/2022

Neema ya Bwana Yesu Kristo, na pendo la Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu ukae nanyi nyote .2 Kor 13:14

Done and dusted.tunasubiria harusi tu.
29/11/2022

Done and dusted.tunasubiria harusi tu.

Address

Magila/Likoma Street
Kariakoo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KKKT Usharika Wa Kariakoo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to KKKT Usharika Wa Kariakoo:

Share