Angaza choir- Mang'ola

Angaza choir- Mang'ola Ukurasa huu unahusu kikundi cha kwaya ya Angaza, nyimbo zake pamoja na kila kitu ambacho kwaya ya Angaza wanashuhulika nacho.
(1)

WANAKWAYA WA ANGAZA
Kwaya ya Angaza imeundwa na wanakwaya wa level tofauti tofauti wakiwemo vijana na wazee, lakini wengi wao ni vijana. Miongoni mwa hao vijana, wengine ni wanafunzi wanaosoma shule tofauti tofauti ndani na nje ya mang’ola. Kuwepo kwa wanakwaya mchanganyiko kumesaidia kwa kiasi kikubwa kujenga nidhamu ndani ya kwaya na kuweza kuwalea hawa vijana wadogo katika maadili mazuri ili kuendelea kuimarisha kwaya hii katika siku na vizazi vijavyo.

Address

Www. Angazachoir. Com
Karatu

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Angaza choir- Mang'ola posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Angaza choir- Mang'ola:

Share