Elim Pentecostal Church Karatu-TANZANIA

Elim Pentecostal Church Karatu-TANZANIA Psalms:95:6: O come, let us worship and bow down: let us kneel before the LORD our maker. KJV

06/05/2022
22/09/2019

Shalom Brethren, natumai mlikuwa na Jumapili njema

18/07/2018

Shalom

11/04/2017

Unataka kuwa na amani? Mjue sana Mungu utaipata, Zuia ulimi usinene mabaya Tenda mema

05/03/2017

Proverb:16:3: Commit thy works unto the LORD, and thy thoughts shall be established.

19/02/2017

PRAISE THE LORD

12/02/2017

ZABURI 46:1 Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu,
msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso.

15/01/2017

Damu ya YESU ndiyo inayotutoa dhambini

26/07/2016

Binti mmoja alitaka ushauri kutoka kwa Mwalimu na maongezi yao yalikuwa hivi.. :
🔹Binti : Shallom mwalimu..
🔹Mwl : Shallom maranatha, binti yangu.
🔹Binti : Mwl, kuna swali naomba nikuulize, maana linanisumbua sana kichwa changu.
🔹Mwl : usijal binti yangu, karibu.
🔹Binti : Mwl, mimi ni binti niliyeokoka na nampenda YESU, nina mchumba wangu ninampenda sana na yeye ananipenda pia, lakini yeye hajaokoka. Sasa ninaweza kuwa nae? Tuna malengo ya kuoana.
🔹Mwl : Binti yangu maandiko yanasema,
"Msifungiwe NIRA pamoja na wasioamini (msioane na watu wasiookoka), kwa jinsi isivyo sawasawa. Kwa maana pana Ushirika gani kati ya haki na Uasi? Tena pana shirika gani kati ya Nuru na Giza? Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye Asiyeamini? 2 wakorintho 6 :14-16.
Hivi binti yangu, mafuta unaweza ukachanganya na maji na vikakaa pamoja? Ingawa vyote ni vimiminika lakini haviwezi kukaa pamoja. Ni lazima vijitenge, mafuta yatakuwa juu na maji yatakaa chini.
🔹Binti : Lakini Mwl, si anaweza kubadilisha dini?
🔹Mwl : Binti yangu, wokovu si DINI, wokovu ni kuishi maisha matakatifu katika kristo Yesu, wokovu ni KUZALIWA kwa mara ya pili, wokovu ni NEEMA. I Petro 1 : 23, Yohana 3 : 5.
🔹Binti : Basi, Mwl nitamuhubiria aokoke..!
🔹Mwl : Kumuhubiria unaweza binti yangu, lakini sio kumfanya Aokoke, ni Mungu pekee ndiye mwenye uwezo huo. Usidanganyike binti yangu. Tena Yesu aliwaambia hivi Wayahudi :
"Akasema kwa sababu hiyo nimewaambia ya kwamba hakuna mtu Awezaye kuja kwangu (kuokoka) isipokuwa amejaliwa na Baba yangu " Yohana 6 : 65.
🔹Binti : Aah jamani, lakini si kuna andiko linasema mke k**a hajaokoka atatakaswa na mumewe k**a ameokoka na k**a mume ndiye hajaokoka pia atatakaswa na mkewe aliyeokoka?
🔹Mwl : Kweli Mungu alikuwa sawa aliposema watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa (Hosea 4 :6). Binti yangu ni kweli kuna andiko hilo lakini halikuhusu wewe katika mazingira yako ya sasa.
Andiko hilo linawahusu watu waliofunga ndoa kabla hawajaokoka na baadaye mmoja wapo akawa ameokoka, hapo ndipo biblia inashauri kuwa yule aliyeokoka asimuache mwenzake k**a atakuwa tayar kuendelea kuwa pamoja, maana yule asiyeokoka hutakaswa kupitia yule aliyeokoka ( 1 wakorintho 7 :12-16).
Hivyo si sawa kwa mtu aliyeokoka kutumia andiko hilo. Binti yangu, Usidanganyike.
🔹Binti : Lakini huyo kijana ananipenda kweli, yaan sijawah ona mwanaume anayenipenda k**a yeye, yaan sijaona (kwa kusisitiza).
🔹Mwl : Hahaha, ni kweli binti yangu hakuna mwanaume anayekupenda zaidi yake? Je huyo mwanaume yupo tayar kufa kwa ajili yako? Sidhani binti yangu.
Lakini yupo mwanaume mmoja aliyekubali kufa kwa ajili yako, Yesu pekee ndiye aliyekubali kufa kwa ajili yako hakuna mtu mwingine ANAYEWEZA kufanya hivyo.
Maandiko yanasema : 'Bali alijeruhiwa (Yesu) kwa makosa yetu, Alichubuliwa kwa maovu yetu, Adhabu ya Amani yetu (mimi na wewe) ilikuwa juu yake, Na kwa kupigwa kwake SISI tumepona' the Isaya 53 : 5.
🔹Binti :Lakini Mwl, mi siwez kumuacha yaan ninavyompenda, siwezi jaman.
🔹Mwl : Binti yangu, unawezaje kusema unampenda Yesu ikiwa huwezi kulitii neno lake? Yesu alisema mtu anayempenda hulitii Neno lake (Yohana 14 :23). Na pia alisema mtu asiyekubali kuviacha vitu vyote na kumfuata hawezi kuwa mwanafunzi wake (Luka 14 :33).
🔹Binti :Lakini Mwl, mbona sasa sioni vijana waliokoka wanaonipenda?
🔹Mwl : Binti, mambo ya rohoni hutambulika na kuonekana rohoni. Usitumie akili zako katika hili, ebu mwachie Mungu. 1 Wakorintho 2 : 14.
🔹Binti : Yaani hapa nilipo nimechoka sijui hata nifanyaje.
🔹Mwl : Maandiko yanasema, 'mwenye haki wangu ataishi kwa IMANI, Naye akisita-sita roho yangu haina furaha naye' Waebrania 10 : 38.
🔹Binti : sawa Mwl, nimeelewa.
🔹Mwl :Mungu AKUSAIDIE binti yangu, uwe mtendaji wa Neno na si msikiaji tu. Yakobo 1 : 21.
↪Hivyo ndivyo Maongezi yalivyokuwa kati ya Mwalimu na binti..... Binti akaondoka kwa huzuni huku kichwa akiwa ameinamisha Chini...................
Kuna msemo unasema.. :
"USIKUBALI KUMUACHA YESU KWA AJILI YA KITU CHOCHOTE KWA KUWA CHOCHOTE KINAWEZA KUKUACHA WAKATI WOWOTE ILA YESU ATAKUWA NA WEWE WAKATI WOTE KATIKA YOTE "

14/07/2016

Psalms:57:1: Be merciful unto me, O God, be merciful unto me: for my soul trusteth in thee: yea, in the shadow of thy wings will I make my refuge, until these calamities be overpast.
Psalms:57:2: I will cry unto God most high; unto God that performeth all things for me.
Psalms:57:3: He shall send from heaven, and save from the reproach of him that would swallow me up. Selah. God shall send forth his mercy and his truth.
Psalms:57:4: My soul is among lions: and I lie even among them that are set on fire, even the sons of men, whose teeth are spears and arrows, and their tongue a sharp sword.
Psalms:57:5: Be thou exalted, O God, above the heavens; let thy glory be above all the earth.
Psalms:57:6: They have prepared a net for my steps; my soul is bowed down: they have digged a pit before me, into the midst whereof they are fallen themselves. Selah.
Psalms:57:7: My heart is fixed, O God, my heart is fixed: I will sing and give praise.
Psalms:57:8: Awake up, my glory; awake, psaltery and harp: I myself will awake early.
Psalms:57:9: I will praise thee, O Lord, among the people: I will sing unto thee among the nations.
Psalms:57:10: For thy mercy is great unto the heavens, and thy truth unto the clouds.
Psalms:57:11: Be thou exalted, O God, above the heavens: let thy glory be above all the earth.

Address

139
Karatu
0

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Elim Pentecostal Church Karatu-TANZANIA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Elim Pentecostal Church Karatu-TANZANIA:

Share