GREAT PraiseTeam Karatu

GREAT PraiseTeam Karatu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from GREAT PraiseTeam Karatu, Religious organisation, Karatu.

31/12/2025
Pokea Sifa za mioyo yetu Bwana # Greatpraiseteamkaratugcct
08/07/2022

Pokea Sifa za mioyo yetu Bwana

# Greatpraiseteamkaratugcct

Let it rain # Kila mwenye Pumzi na amsifu bwana halleluya Zab 150:1-6
28/06/2022

Let it rain
# Kila mwenye Pumzi na amsifu bwana halleluya Zab 150:1-6

Kusifu ni  kuzuri kunawapasa wanyofu Wa Moyo. Zab 33.3
27/06/2022

Kusifu ni kuzuri kunawapasa wanyofu Wa Moyo. Zab 33.3

26/06/2022

Bishop Kazimoto. Kila jambo natulitende wakati sahihi na muda sahihi.

Bwana anastahili Sifa za Mioyo yetu, Tunawakaribisha watu wrote kwenye Ibada
22/06/2022

Bwana anastahili Sifa za Mioyo yetu, Tunawakaribisha watu wrote kwenye Ibada

Hii sio ya kuikosa.Njoo na kiwakilishi chako mbele ya madhabahu ya Jehovah Mungu. Uondoke na Muujiza wako.
18/06/2022

Hii sio ya kuikosa.
Njoo na kiwakilishi chako mbele ya madhabahu ya Jehovah Mungu. Uondoke na Muujiza wako.

Tunakukaribisha Sana kuabudu nasi.   mtu wa Mungu wenye shida wataombewa
11/06/2022

Tunakukaribisha Sana kuabudu nasi. mtu wa Mungu wenye shida wataombewa

The Great Praise Team. "Pumzi na Sifa"
06/06/2022

The Great Praise Team. "Pumzi na Sifa"

House of Deliverance and Testimonies. Lango LA mbingu GCCT-Karatu. Kwa maombezi na ushauri ,pia unaweza kutuma sadaka ya...
06/06/2022

House of Deliverance and Testimonies. Lango LA mbingu GCCT-Karatu. Kwa maombezi na ushauri ,pia unaweza kutuma sadaka yako kujiunganisha na madhabahu tumia noMpesa 0768217166 John Kazimoto

  praise team Karatu. Wamewaandalia Ibada kubwa ya Sifa na kuabudu  .Main theme # Zab 150:6 kila mwenye Pumzi na amsifu ...
26/05/2022

praise team Karatu. Wamewaandalia Ibada kubwa ya Sifa na kuabudu .

Main theme
# Zab 150:6 kila mwenye Pumzi na amsifu Bwana haleluya.

PUMZI AMSIFU BWANA"

Jumapili hii tar 29.05- Kanisa LA GCCT- Pentecost's Karatu kuanzia SAA kumi kamili Jioni.

Address

Karatu

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GREAT PraiseTeam Karatu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share