KWAYA YA MT. Yoseph Kayanga Cathedral

KWAYA YA MT. Yoseph Kayanga Cathedral Kwaya hii inapatikana Parokia ya Kanisa Kuu Kayanga Wilaya ya Karagwe

Baadhi ya matukio katika Ziara ya Kwaya yetu Parokiani Bukoba kigango cha Bunena
17/10/2024

Baadhi ya matukio katika Ziara ya Kwaya yetu Parokiani Bukoba kigango cha Bunena

TANZIA. Tunasikitika kutangaza kifo cha mlezi na mfadhili wetu mkuu Wakili Msomi Aaron Kabunga kilichotokea jana hospita...
30/06/2024

TANZIA.
Tunasikitika kutangaza kifo cha mlezi na mfadhili wetu mkuu Wakili Msomi Aaron Kabunga kilichotokea jana hospitali ya Bugando. Ni majonzi makubwa kwetu. Apumzike kwa Amani

22/12/2023
22/12/2023

Maandalizi ya Noel. Karibuni sana kwenye hii sikukuu! Tunawatakia Christmas 🎄 Njema

Maombi yangu yafike mbele yako Uutegee ukelele wangu sikio lako Ee Bwana. Tunawatakia Jumapili ya njema
12/11/2023

Maombi yangu yafike mbele yako Uutegee ukelele wangu sikio lako Ee Bwana. Tunawatakia Jumapili ya njema

Katika kuendelea kuimarisha utume wa KWAYA YA MT. Yoseph Kayanga Cathedral tumeanzisha darasa la Muziki. Na sasa wanafun...
07/11/2023

Katika kuendelea kuimarisha utume wa KWAYA YA MT. Yoseph Kayanga Cathedral tumeanzisha darasa la Muziki. Na sasa wanafunzi wapo wanaendelea na kipindi. Utume uendelee

06/11/2023

Hii ilikuwa live Performance kutoka KWAYA YA MT. Yoseph Kayanga Cathedral Kwenye Tamasha lililofanyika mwaka 2021. Wimbo ni Astahili Mwanakondoo (Worthy is the lamb) by G.F.Handel

Ilikuwa siku ya Uzinduzi wa Mradi wa Mahema ya KWAYA YA MT. Yoseph Kayanga Cathedral . Tumshukuru Mungu
03/11/2023

Ilikuwa siku ya Uzinduzi wa Mradi wa Mahema ya KWAYA YA MT. Yoseph Kayanga Cathedral . Tumshukuru Mungu

31/10/2023

Endelea Kufurahia Nyimbo zetu kupitia Account yetu ya YouTube kwa jina la KWAYA YA MT. YOSEFU MFANYAKAZI KAYANGA

Address

Kayanga
Karagwe

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KWAYA YA MT. Yoseph Kayanga Cathedral posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to KWAYA YA MT. Yoseph Kayanga Cathedral:

Share