T.A.G Mlima Wa Nyumba Ya Mungu-Kaliua Jerusalem Temple

T.A.G Mlima Wa Nyumba Ya Mungu-Kaliua Jerusalem Temple Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from T.A.G Mlima Wa Nyumba Ya Mungu-Kaliua Jerusalem Temple, Religious organisation, Kaliua.

NDOA MPYA MJINI   na   Pamoja!!   ni Baraka kutoka kwa Bwana Tunawatakia baraka njema  Johnston Josiah Mwemezi   na Cole...
01/05/2026

NDOA MPYA MJINI

na Pamoja!!
ni Baraka kutoka kwa Bwana

Tunawatakia baraka njema

Johnston Josiah Mwemezi na Coletha William Mbwile Katibu wa Idara ya vijana hapa Jerusalem Revival Temple

sana

Ndoa hii kati ya Johnston na Coletha ilifungwa hapa Yerusalem Revival Temple Mlima wa Nyumba ya Bwana
Siku ya Tarehe 4/5/2026

05/04/2026

IBADA YABARAKA SANA SIKUHII YAPASAKA HAKIKA YESU AMETUPENDELEA

01/03/2026

W.W.K WAKIMWIMBIA MUNGU KWENYE SIKUKU YAO LEO Tarehe 1/3/2026

01/03/2026

W.W.K HAO WAMEPENDEZA KWELIKWELI WAKIWA NA FURAHA SIKUKUU YAO KATIKA KANISA LA T A.G JERUSALEM REVIVAL TEMPLE MLIMA WA NYUMBA YA BWANA .TABORA

23/02/2026

Moja ya kumbukumbu zisizofutika
Tarehe 26/12/2025 familia ya Jerusalem Revival Temple tulishiriki michezo mbalimbali hapa kanisani.
Team Vijana waliwashinda Team wanaume waliooa kwa muda mfupi tu.

09/02/2026

KARIBUNI KALIUA KARIBUNI KANISANI KWETU TUMSIFU MUNGU PAMOJA TUKIWA NA MUIMBAJI WETU MCHUNGAJI WAKANISA LETU ZURIIII

JITAHIDI SANA LEO USIKOSE TUHITIMISHE PAMOJA SAFARI HII YA BARAKA TUMEKUWA UWEPONI KWA SIKU 21 NA LEO TUTAHITIMISHA SAA ...
01/02/2026

JITAHIDI SANA LEO USIKOSE TUHITIMISHE PAMOJA SAFARI HII YA BARAKA

TUMEKUWA UWEPONI KWA SIKU 21 NA LEO TUTAHITIMISHA SAA 10 KAMILI JIONI

➡️ USISAHAU PIA IBADA KUANZIA SAA 2:15 ASUBUHI

SAFARI YA MAOMBI INAENDELEA LEO NI SIKU YA 20.TUKUTANE SAA 10 KAMILI JIONI TUOMBE PAMOJA
31/01/2026

SAFARI YA MAOMBI INAENDELEA LEO NI SIKU YA 20.

TUKUTANE SAA 10 KAMILI JIONI TUOMBE PAMOJA

TUNAENDELEA NA MAOMBI YA KITAIFA YA KUFUNGA NA KUOMBA LEO NI SIKU YA 19.TUKUTANE KANISANI SAA 10 KAMILI JIONI TUOMBE PAM...
30/01/2026

TUNAENDELEA NA MAOMBI YA KITAIFA YA KUFUNGA NA KUOMBA

LEO NI SIKU YA 19.
TUKUTANE KANISANI SAA 10 KAMILI JIONI TUOMBE PAMOJA

TUNAENDELEA NA MAOMBI YA BARAKA SANA YA SIKU 21 LEO NI SIKU YA 18.TUKUTANE SAA 10 KAMILI JIONI TUOMBE PAMOJA
29/01/2026

TUNAENDELEA NA MAOMBI YA BARAKA SANA YA SIKU 21

LEO NI SIKU YA 18.

TUKUTANE SAA 10 KAMILI JIONI TUOMBE PAMOJA

Address

Kaliua

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when T.A.G Mlima Wa Nyumba Ya Mungu-Kaliua Jerusalem Temple posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share