01/09/2026
TUJITAHIDI KUMPA MUNGU NAFASI YA KWANZA KATIKA MAISHA YETU NA MAMBO MENGINE YAWE ZIADA. ASKOFU NDIZEYE
Karibu Utazame sehemu ya homilia yake Mhashamu Christopher Ndizeye Nkoronko, Askofu wa Jimbo Katoliki Kahama aliyoitoa wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya kuanza kwa Semina ya Makatekista Jimboni Humo.