02/04/2022
Niwatakie maandalizi mema, kwa ibada yakesho, ukiwa ni mchungaji yakupasa angalau, ukeshe ukiomba sichini ya masaa matatu, na ukiwa unajihusisha na utumishi wowote kanisani kwako, yakupasa uombe leo usku wa manane kuanzia saa sita na kuendelea, kwasababu gani, nasema hivyo, leo watu wanahudumu, kwa mazoea, nakuzifanya ibada kuwa za mapooza, na zamazoea na desturi yakawaida, mfano mzuri ni kwa Bwana wetu Yesu kristo, alikuwa hahudaumu kwa mazoea, alikuwa akikesho harafu mchana anakuwa katka masinagogi yao, akifundisha nakuponya wagonjwa na kutoa mapepo ndani ya watu, Siri ipo kwenye kukesha uwe komando wa maombi ili uweze kuuleta ufalme wa Mungu duniani, Mungu akubariki, wachungaji wainjiristi manabii, walimu, mitume, waimbaji, mashemasi, tunapaswa kulipa garama za maombi na kukaa barazani pa Bwana ili Bwana atusikilizishe cha kusema tusimamapo kwaajili ya kuwa hudumia watu wake, nahapo ndipo tutasema yatokayo kwanye moyo, wa Mungu,