EAGT Yerusalemu Kahama

EAGT Yerusalemu Kahama Kanisa lipo karibu na stendi ndogo. Karibu sana na Mungu atakuhudumia kupitia mtumishi wake, Rev. Dr. Felix Gwamiye pamoja na watenda kazi pamoja naye.

Karibuni katika ibada ya kesho
09/04/2022

Karibuni katika ibada ya kesho

Huduma yako iligusa maisha yawengi mnooo, hatimaye umelala mama yetu,nyimbo ya ekueme ilikutambulisha mnoo, utakumbukwa ...
09/04/2022

Huduma yako iligusa maisha yawengi mnooo, hatimaye umelala mama yetu,nyimbo ya ekueme ilikutambulisha mnoo, utakumbukwa Kwa huduma yako,

Kanisa la EAGT Jerusalem Gospel Center linapenda kukukaribisha mkazi wa Kahama na viunga vyake katika ibada hii ya Neno ...
28/03/2022

Kanisa la EAGT Jerusalem Gospel Center linapenda kukukaribisha mkazi wa Kahama na viunga vyake katika ibada hii ya Neno la Mungu na maombezi itakayofanyika (Jumapili) kuanzia saa tatu na nusu pale EAGT JERUSALEM GOSPEL CENTER mkabala na STEND NDOGO KAHAMA.
Tumeona Mungu akiwafungua watu kwa ukubwa sana katika wiki zilizopita na tunajua kabisa kuwa ataenda kufanya zaidi ya ambayo ameshafanya.

Karibu sana na Mungu akubariki.






.

19/06/2020

NI AIBU KWA KIJANA KUWA MZULULAJI ILI UFANIKIWE NI LAZIMA UFANYE KAZI KWA BIDII

VIJANA JIFUNZE KUFANYA KAZI KWA BIDII, UTAONA MAFANIKIO MAKUBWA YAKIKUPATA SASA NA BAADAE

VIJANA WENGI LEO NI WAZULULAJI TU NA WANASINGIZIA WAO NI WATUMISHI

Dr._FELIX_GWAMIYE.

Mwenyekiti wa vijana akisema neno la shukrani baada ya kuwekwa wakfu hapa EAGT JERUSALEM GOSPEL CENTER KAHAMA SHINYANGA
15/06/2020

Mwenyekiti wa vijana akisema neno la shukrani baada ya kuwekwa wakfu hapa EAGT JERUSALEM GOSPEL CENTER KAHAMA SHINYANGA

Mwenyekiti wa wamama akisema neno la shukrani baada ya kuwekwa wakfu hapa EAGT JERUSALEM GOSPEL CENTER KAHAMA SHINYANGA
15/06/2020

Mwenyekiti wa wamama akisema neno la shukrani baada ya kuwekwa wakfu hapa EAGT JERUSALEM GOSPEL CENTER KAHAMA SHINYANGA

Viongozi wapya wa idara ya Wanawake WWI na vijana CGM wakiwekwa wakifu Kanisani la EAGT JERUSALEM GOSPEL CENTER KAHAMA S...
14/06/2020

Viongozi wapya wa idara ya Wanawake WWI na vijana CGM wakiwekwa wakifu
Kanisani la EAGT JERUSALEM GOSPEL CENTER KAHAMA SHINYANGA.
Dr Felix Gwamiye

Sherehe ya kuhitimisha wiki ya vijana, C.G.M, EAGT JERUSALEM KAHAMA (Tarehe 12-18.11.2018),iliyoambatana na kumtegemeza ...
22/11/2018

Sherehe ya kuhitimisha wiki ya vijana, C.G.M, EAGT JERUSALEM KAHAMA (Tarehe 12-18.11.2018),iliyoambatana na kumtegemeza mchungaji na mlezi wa idara hii, Rev. Dr. Felix Gwamiye, mnamo Jumapili ya tarehe 18.11.2018....CGM...Motoooo!!!!

25/03/2018

Amani kwaya wakimwimbia Jehova

Picha ya pamoja ya EMMANUEL KWAYA pamoja na mchungaji Dr. Felix Gwamiye na mama mchungaji siku ya Christmas 2017
06/01/2018

Picha ya pamoja ya EMMANUEL KWAYA pamoja na mchungaji Dr. Felix Gwamiye na mama mchungaji siku ya Christmas 2017

Address

378
Kahama

Telephone

0754437411

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EAGT Yerusalemu Kahama posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share