Elijah manyenye evangelical mission

Elijah manyenye evangelical mission Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Elijah manyenye evangelical mission, Religious organisation, Kahama.

12/11/2020

This guide will equip the student with the key "dos and don'ts" that will help him/her go through their training successfully.

12/04/2018

dawa ya dhambi nikutubu tu.

13/03/2017

Dhambi ukiitazama kwa majo ina vutia lkn mwisho wake ni mauti ya aibu kubwa .tafakari chukua hatua

Karibu watu wote wa madhebu yote ,kabila zote
06/09/2016

Karibu watu wote wa madhebu yote ,kabila zote

Hayo ni baadhi ya majina ya MUNGU wetu
06/09/2016

Hayo ni baadhi ya majina ya MUNGU wetu

19/05/2016

Bwana asifiwe sana jion ya Leo napenda tutarakari ukuu Wa Mungu katika maisha yetu ya kila siku maana n wengi wlitamani kuwa hai k**a ww lakini hawakuweza sio kwamba we ni mkamilifu mbele zake ila ni Neema tu imetufunika tumia Neema iyo vzr katka maisha yako maana IPO Mara moja t

21/02/2016

habari za jumapli wapendwa nawatakia wiki yenye baraka za Mungu

06/02/2016

Kila kitu unachokiona katika ulimwengu Wa mwili ni lazima kilianzia katika ulimwengu Wa roho kwanza .

17/01/2016

muwe na jumapili njema MUNGU awabarki sana

09/01/2016

Unajua Mungu hua ham adhibu mtu mpaka amuonye kwanza ukionywa ndungu ang sikia maonyo hayo ogopa sana adhab ya MUNGU anatupenda na hataki hata mmoja apotee lkn ss TNA acha njia kwa. makusudi.

27/12/2015

kuokoka in lazima, hakuna mtu atauona ufalme wa MUNGU asipookoka.

10/12/2015

baada ya maisha ya duniani kuna maisha mengine ambayi unatakiwa kuyatengeza saf k**a hujaokoka tubu na k**a umeokoka endelea ktnza wokv wako

Address

Kahama
5

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Elijah manyenye evangelical mission posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share