FPCT Ushetu

FPCT Ushetu Spiritual affairs

12/11/2023

Uzinduzi wa album ya mpendwa wetu mtumishi Jackson Masengwa katika kanisa la Fpct Ushetu. Mambo yalikuwa Moto

Ndoa iliyo katika mpango wa Mungu ni baraka ya pekee sana kutoka kwa Bwana
24/07/2023

Ndoa iliyo katika mpango wa Mungu ni baraka ya pekee sana kutoka kwa Bwana

Sunday service Fpct Ushetu
24/07/2023

Sunday service Fpct Ushetu

Tumepata neema ya pekee kutembelewa na ASKOFU MKUU WA TAIFA FPCT  hapa Kanisani kwetu FPCT USHETU. Mungu ambariki na kum...
24/07/2023

Tumepata neema ya pekee kutembelewa na ASKOFU MKUU WA TAIFA FPCT hapa Kanisani kwetu FPCT USHETU. Mungu ambariki na kumtunza. Amina

Siku zote MUNGU huiangalia  ''BIDII''na kuibariki katika kila jambo zuri lifanywalo na mwanadamu. Hivyo ni lazima kumtum...
04/04/2023

Siku zote MUNGU huiangalia ''BIDII''na kuibariki katika kila jambo zuri lifanywalo na mwanadamu. Hivyo ni lazima kumtumikia Mungu kwa BIDII yote naye ataibariki bidii yetu kwa kuachilia kila alichokusudia kwa ajili ya maisha yetu.... Mtumishi ENOCK NGASSA FPCT Ushetu Mbika katika ibada ya jumapili

Huduma yenye nguvu ni ile inayofanyika chini ya uongozi wa Roho mtakatifu. Ni muhimu kutathimini kiwango cha nguvu ya hu...
26/02/2023

Huduma yenye nguvu ni ile inayofanyika chini ya uongozi wa Roho mtakatifu. Ni muhimu kutathimini kiwango cha nguvu ya huduma uliyonayo kwani huduma yenye nguvu ya Mungu huonekana kwa matendo na ndio iletayo matunda. Ndio maana Yesu hakupenda kanisa kutembea bila ya nguvu ya Roho mtakatifu. ...........
MAMA ASKOFU THOMAS MASENGWA katika ibada ya jumapili Fpct Ushetu.

Address

Mbika
Kahama

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FPCT Ushetu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to FPCT Ushetu:

Share

Category