Apostle Joel Amasi

Apostle Joel Amasi Apostle Joel Amasi
Teacher of the Truth | Teacher of the Grace God

Mungu wa baba zetu Ibrahim, Isaka na Yakobo aliwakumbuka wana Israeli   Musa na   apeleke wokovu kwao.Kutoka 3:6,16Wewe ...
13/09/2025

Mungu wa baba zetu Ibrahim, Isaka na Yakobo aliwakumbuka wana Israeli Musa na apeleke wokovu kwao.
Kutoka 3:6,16

Wewe Mzazi una M(m)ungu gani. Je! Wanao wanakumbukwa na M(m)ungu gani. Je! Ni gani hutumwa kwao.

Adamu alikuwa na kazi na utafutaji akaisahau familia, shetani akaitembelea akamtokea mama na mambo magumu yakaingizwa na kuwatoa kwenye
mzuri
nzuri
ugumu kwenye maisha yao.

Watoto wako hutokewa na Nani?

Vijana watatu waliokuwa hodari katika Mungu wao, wakajibu za kiibada mbele ya mfalme mkatili Nebukadneza wa dunia nzima.
Wakamwambia Haina haja ya kusubiri kengele ya ibada. Hapa hapa tunakupa taarifa kwamba hatutasujudia muunga wako.

Unauhakika mwanao akiambiwa aabudu miungu migeni atakataa?
Awe mwabudu atakataa?
Je! Mungu huonekana kwa wanao wanapotupiwa kwenye Tanuru za moto wa maisha?

Wazazi wengi ni duni katika malezi na ndio maana mnatolewa .
Mungu wako kwa wanao k**a Joshua mbele ya Israel wote
Siku watakutoa kafara kupitia mungu waliompata huko wanapopajua wao.

Imeandaliwa na Apostle Joel Amasi

12/09/2025

Kuwa mwanaume a Man

  K**a ni kweli kubali tu   k**a ni uongo pia bado inasaidia, kwa nini asikoselewe mwingine. Basi unapendwa hawataki uan...
11/09/2025



K**a ni kweli kubali tu k**a ni uongo pia bado inasaidia, kwa nini asikoselewe mwingine. Basi unapendwa hawataki uanguke.

K**a wanashindana na wewe kwa namna isiyo nzuri maana wanapenda.

Kupenda maonyo kunasaidia sana. Kuna kitu wewe hujaona, mkeo hajaona na ni hatari kwa nafasi yako ila Kaona Mzee mmoja hivi. Usikasirike pokea kwani utakufa.

Huwezi kujiweza mwenyewe utahitaji watu, huwezi kujichunga mwenyewe, utahitaji mchungaji, huwezi jiangalia mwenyewe utahitaji macho mengi. Hakuna mashindano kila unapopokea maonyo unapiga hatua mbele yao.

Mithali 9:9
Mwelimishe mwenye hekima, naye atazidi kuwa na hekima;
Mfundishe mwenye haki, naye atazidi kuwa na elimu;
Give instruction to a wise man, and he will be yet wiser: teach a just man, and he will increase in learning.

Joel Amasi

04/09/2025

Kijana na usafi wa mwili

30/08/2025

Mungu hakubariki kwa sababu ya Tabia za

23/08/2025

Uzinzi unaweza kuja k**a Shambulizi la Kiroho

22/08/2025
20/08/2025

Tofauti kati ya Kutamani na Kuvutiwa

17/08/2025

Salamu! Usipofanya hili utafanya vyema.
Fare you well

Address

316 Abc
Kahama

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Apostle Joel Amasi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category