New Jerusalem Revival Temple-T.A.G

New Jerusalem Revival Temple-T.A.G Kanisa la Kipentecoste(T.A.G)-Lililopo Uyole B-Kitwiru Iringa Manispaa. Lipo Chini Ya Mch Stani Nganyagwa. Mawasiliano:-
+255719353726
au
+255765878805

27/03/2026

"Usipokua Mtoaji na hasa utoaji wa fungu la kumi,kuinuka katika hali uliyokua nayo ni ngumu sana"
Na Mwl-Mama Kavenuke: kutoka New Jerusalem Revival Temple-T.A.G

26/03/2026

Somo:Epuka Shina la Uchungu
‎Mwl: Mama Kavenuke
Kanisani: New Jerusalem Revival Temple-T.A.G
‎NJIA MOJAWAPO YA KUZUIA SHINA LA UCHUNGU
‎✅Kuepuka dhambi ikuzingayo Kwa wepesi~
_Sisi tuliookoka tumetengwa na ubaya wa Kila namna Kwa hiyo inabidi tujitenge nao(tuepuke ubaya)
_Sisi tuliookoka tunapaswa kujitenga na mapato ya udhalimu pia

📖Ebrania 12:1:-
Basi na sisi pia, kwa kuwa tunazungukwa na wingu kubwa la mashahidi namna hii, na tuweke kando kila mzigo mzito, na dhambi ile ituzingayo kwa upesi; na tupige mbio kwa saburi katika yale mashindano yaliyowekwa mbele yetu"

23/03/2026

SOMO:Epuka Shina la Uchungu
‎Mwl: Mama Kavenuke
‎Ebr 12:14-16
ILI UEPUKE SHINA LA UCHUNGU
a)Usiache kutenda mema:-
"Galatia 6:9"
"Tena tusichoke katika kutenda mema; maana tutavuna kwa wakati wake, tusipozimia roho."
🔥Na kutenda mema kunahitaji juhudi binafsi, usipokua na juhudi binafsi mambo ni mengi ya kukwaza,utakwazika Bure tu.

New Jerusalem Revival Temple-T.A.G
Stani Nganyagwa
Mawasiliano:-
📞+255 719 353 726

IBADA YA JUMAPILI|| 22/03/2026Somo:Epuka shina la uchungu ‎Mwl: Mama KavenukeAndiko kuu:Ebr 12:14-16✅‎uchungu- ni hisia ...
22/03/2026

IBADA YA JUMAPILI|| 22/03/2026
Somo:Epuka shina la uchungu
‎Mwl: Mama Kavenuke
Andiko kuu:Ebr 12:14-16
✅‎uchungu- ni hisia Kali za maumivu na Majuto
✅‎Hali ya kuwa na aman na watu wote inasaidia kuepuka Shina la uchungu lisikae ndani mwako ‎
‎VITU VINASABABISHA UCHUNGU
‎-Kupata hasara
‎-Kupoteza kitu au Mtu.
‎-Umefanya kosa fulani
✅‎Mara nyingi uchungu umesababisha mauti

‎WATU WALIOTUNZA UCHUNGU
‎✅Kisa Cha Kaini na habili, Mwz 4:8,
_‎Kaini alimuua Habili kwa sababu ya Uchungu alio kua nao baada ya sadaka yake kukataliwa na Mungu
‎✅Kisa Cha Essau na Yakobo, Mwz 27:41
_Essau anapanga njama za kumuua Yakobo baada ya Yakobo kumpoka urithi wa baraka za mzaliwa wa kwanza
‎✅Kisa Cha Sauli na daudi:-
_Sauli anapanga njama za kumuua daudi baada ya Uchungu aliokua nao uliotokana na watu kumsifia zaidi daudi kua ameua maelfu na Sauli mamia.
‎ Yetu yaamuliwe na amani ya kristo (kolosai 3:15)
‎ juhudi za kupendana (1 Petro 4:8)
‎ dhambi ikuzongayo Kwa wepesi(Ebr 12:1)

Je unafahamu mbinu za mafanikio yako kiroho na kimwili? Njoo ujifunze nasi
15/03/2026

Je unafahamu mbinu za mafanikio yako kiroho na kimwili?

Njoo ujifunze nasi

03/03/2026

Kwaya Ya WWK New Jerusalem Revival Temple-T.A.G Ikihudumu siku Ya Kilele Cha Sikukuu Ya WWK.

"Isaya 45:22"
"Niangalieni mimi, mkaokolewe, enyi ncha zote za dunia; maana mimi ni Mungu; hapana mwingine."

02/03/2026

HITIMISHO LA WIKI YA W.W.K

Zilipendwa🔥🔥🔥🔥
New Jerusalem Revival Temple-T.A.G

Hitimisho Ya Wiki Ya W.W.K 01/03/2026New Jerusalem Revival Temple-T.A.G ilikua nzuri sana.Tunamshukuru Mungu sana aliyet...
02/03/2026

Hitimisho Ya Wiki Ya W.W.K 01/03/2026
New Jerusalem Revival Temple-T.A.G ilikua nzuri sana.Tunamshukuru Mungu sana aliyetufanikisha.


"Isaya 45:22"
"Niangalieni mimi, mkaokolewe, enyi ncha zote za dunia; maana mimi ni Mungu; hapana mwingine."

MAADHIMISHO YA WIKI YA W.W.K 01/03/2026Ahsante Yesu hakika wewe ni Mungu mwaminifu New Jerusalem Revival Temple-T.A.G Uy...
01/03/2026

MAADHIMISHO YA WIKI YA W.W.K 01/03/2026

Ahsante Yesu hakika wewe ni Mungu mwaminifu New Jerusalem Revival Temple-T.A.G Uyole B-Kitwiru,Iringa tumehitimisha wiki la W.W.K Kwa ushindi Mkubwa.
Tunamtukuza Mungu Kwa Kua tumemuona.
Isaya 45:22-:
"Niangalieni mimi, mkaokolewe, enyi ncha zote za dunia; maana mimi ni Mungu; hapana mwingine."

Address

Iringa
Iringa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when New Jerusalem Revival Temple-T.A.G posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share