Prophett Victor Magoha/shiloh International Ministries Mafinga Branch

  • Home
  • Tanzania
  • Iringa
  • Prophett Victor Magoha/shiloh International Ministries Mafinga Branch

Prophett Victor Magoha/shiloh International Ministries Mafinga Branch Prophet Victor Magoha/Shiloh International Ministries Mafinga Branch

26/01/2026

Basi Nyenyekeeni Chini Ya Mkono Wa Mungu Ulio Hodari, Ili Awakweze Kwa Wakati Wake; Huku Mkimtwika Yeye Fadhaa Zenu Zote, Kwa Maana Yeye Hujishughulisha Sana Kwa Mambo Yenu.

~1 Petro 5:6-7

19/10/2025

Leo ni siku yako ya kujibiwa na Bwana, Type Amen I receive

06/06/2023

Tunaishi. Kwenye Dunia Ambayo Furaha Yako Inawapa Watu Shida Lakini Shida Yako Inawapa Watu Furaha. Hatuna Kitu Lakini Tunaimani Na Mungu Anaetoa

Efe 3:20-21 BASI ATUKUZWE YEYE AWEZAYE KUFANYA MAMBO YA AJABU MNO KULIKO YOTE TUYAOMBAYO AU TUYAWAZAYO, KWA KADIRI YA  N...
01/05/2022

Efe 3:20-21

BASI ATUKUZWE YEYE AWEZAYE KUFANYA MAMBO YA AJABU MNO KULIKO YOTE TUYAOMBAYO AU TUYAWAZAYO, KWA KADIRI YA NGUVU ITENDAYO KAZI NDANI YETU: NAKUKIA BARAKA YA MWEZI MEI 2022. NB TUKUTANE KANISANI LEO NITAONGEA NAWE ONE ON ONE.

20/03/2022
MWEZI HUU WA 6 NIMEKUJA NA HABARI NJEMA JUU YAKO!! HABARI NJEMA KWENYE NDOA YAKO, KAZI YAKO, BIASHARA YAKO, AFYA YAKO, F...
30/05/2020

MWEZI HUU WA 6 NIMEKUJA NA HABARI NJEMA JUU YAKO!! HABARI NJEMA KWENYE NDOA YAKO, KAZI YAKO, BIASHARA YAKO, AFYA YAKO, FAMILIA YAKO NA ELIMU YAKO, MUNGU ANAKWENDA KUKUSHANGAZA HUU MWEZI WA 6. MUNGU AMEKUCHAGUA WEWE NA AMEKUBARIKI KULIKO WATU WANAOKUZUNGUKA. TYPE AMEN I RECEIVE.

16/04/2020

Yona 3:6-7
Naye akapiga mbiu, akatangaza habari katika mji wa Ninawi, kwa amri ya mfalme na wakuu wake; kusema, Mwanadamu asionje kitu, wala mnyama wala makundi ya ng’ombe, wala makundi ya kondoo; wasile, wala wasinywe maji;

13/02/2020

Shalom my sons and daughters

Address

Iringa

Telephone

+255764930597

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Prophett Victor Magoha/shiloh International Ministries Mafinga Branch posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Prophett Victor Magoha/shiloh International Ministries Mafinga Branch:

Share