Apostle Tumpe Mwalusamba

Apostle Tumpe Mwalusamba Minister of God's Word ✝️
Spreading the love and truth of Christ Jesus 🌟

Huu ni mwaka 2026 β€” mwaka wa kufanya mapenzi ya Mungu. πŸ™πŸΎSi kwa kelele, bali kwa utiifu wa moyoni. Tunapoandika, tunataf...
06/01/2026

Huu ni mwaka 2026 β€” mwaka wa kufanya mapenzi ya Mungu. πŸ™πŸΎ
Si kwa kelele, bali kwa utiifu wa moyoni. Tunapoandika, tunatafakari; tunapotekeleza mapenzi yake, tunatimiza kusudi letu.
Mapenzi ya Mungu yawe dira yetu, leo na siku zote.

03/01/2026

Mwaka huu 2026 rehema za Bwana zimepita maishani mwako na hutaona tena Yale magonjwa yaliyokutesa sema ameeeen!

Heri ya Mwaka Mpya 2026 πŸŽ‰βœ¨Tunamshukuru Mungu kwa kutuvusha mwaka uliopita na kutuingiza mwaka huu mpya kwa neema zake. T...
03/01/2026

Heri ya Mwaka Mpya 2026 πŸŽ‰βœ¨
Tunamshukuru Mungu kwa kutuvusha mwaka uliopita na kutuingiza mwaka huu mpya kwa neema zake. Tunaomba mwaka 2026 uwe mwaka wa baraka, mafanikio na afya njema katika maisha yako.
β€œMpenzi, naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya njema, k**a vile roho yako ifanikiwavyo.”
β€” 3 Yohana 1:2
Ubarikiwe sana, uendelee kushinda na kung’aa mwaka huu mpya πŸ™βœ¨

πŸ™ Nina shukrani kwa Mungu kwa maisha ya Mtume wa Mungu, Apostle Tumpe Mwalusamba.Mtume na Mchungaji Kiongozi wa Kanda ya...
28/12/2025

πŸ™ Nina shukrani kwa Mungu kwa maisha ya Mtume wa Mungu, Apostle Tumpe Mwalusamba.
Mtume na Mchungaji Kiongozi wa Kanda ya Juu Kusini, chombo kilichochaguliwa kwa wakati huu.
Ninaomba kuongezeka kwa neema, upako mpya, afya njema na nguvu katika kutimiza kusudi la Mungu kwa kizazi hiki πŸ”₯πŸ™Œ

πŸ”₯ Siku 1 imebaki!Usikose Jumapili ya Kutuliwa Mizigo – mahali pa kuachiliwa mzigo na kupokea uhuru.πŸ“… 28 Dec 2025 | πŸ“ Kan...
27/12/2025

πŸ”₯ Siku 1 imebaki!
Usikose Jumapili ya Kutuliwa Mizigo – mahali pa kuachiliwa mzigo na kupokea uhuru.
πŸ“… 28 Dec 2025 | πŸ“ Kanisa la Efatha Iringa – Wilolesi Mlimani
πŸ“– Isaya 10:27

26/12/2025

Address

P. O Box 162 IRINGA
Iringa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Apostle Tumpe Mwalusamba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share