UMOJA wa Wakristo Africa

UMOJA wa Wakristo Africa Tuungane sote tumtumikie Bwana

Safari ya mwisho ya mpendwa wetu   mwenyezi Mungu akujaalie pumziko la milele, . Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga ...
12/05/2022

Safari ya mwisho ya mpendwa wetu mwenyezi Mungu akujaalie pumziko la milele, .
Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike Kwa amani Amina.

CHANG'A ONLINE TV πŸ“Ί

Malkia wa mbingu furahi, Aleluya,Kwani uliyestahili kumchukua, Aleluya.Amefufuka alivyosema,Aleluya.Utuombee kwa Mungu A...
12/05/2022

Malkia wa mbingu furahi, Aleluya,
Kwani uliyestahili kumchukua, Aleluya.
Amefufuka alivyosema,Aleluya.
Utuombee kwa Mungu Aleluya.
Furahi, shangilia, Ee Bikira Maria, Aleluya.
Kwani hakika Bwana amefufuka, Aleluya.
Tuombe.
Ee Mungu uliyependa kuifurahisha dunia kwa kufufuka kwake Bwana wetu Yesu Kristo, Mwanao fanyiza twakuomba kwa ajili ya Bikira Maria, Mamaye tupate nasi furaha za uzima wa milele.
Tunaomba hayo kwa njia ya Kristo Bwana wetu. Amina

*HADITHI YA KUTISHA,,,,, TAFADHALI USIPITE BILA KUSOMA*Siku moja mchungaji mmoja alikuwa safarini akiendesha gari lake, ...
12/05/2022

*HADITHI YA KUTISHA,,,,, TAFADHALI USIPITE BILA KUSOMA*

Siku moja mchungaji mmoja alikuwa safarini akiendesha gari lake, akamwona mzee mmoja akitembea barabarani, akaamua kumpandisha kwenye gari. Walipokuwa wakisafiri yule mzee alimwambia mchungaji:
Mwanangu, unajua kilichotokea jana usiku mbinguni? Mchungaji aliogopa na akasimamisha gari haraka na kuuliza: - "Bwana, uko sawa? Ulipataje habari kutoka mbinguni? ” aliuliza mchungaji. Mzee huyo
Alisema, "Jana usiku mbinguni Mungu alikasirika sana juu ya mwanadamu na akawaambia malaika wapige tarumbeta. Malaika waliinua tarumbeta na Kabla hawajaanza kupiga tarumbeta."

Yesu alianguka chini mbele za Mungu na kuanza kusihi kwa machozi machoni pake; ndipo DAMU SAFI IKAANZA KUTOKA MIKONONI NA MWILINI MWAKE. Kristo alimwambia Mungu awe na Rehema juu ya Wanadamu ili kifo chake kisiwe bure. Mungu akiona majeraha ya mwanawe; na kuona uchungu wa watakatifu wake na pia uovu wa waovu, alisema:
β€œNIMEKUPA FURSA YA MWISHO." Yesu akawageukia malaika na kuwaamuru wafanye haraka idadi kubwa ya malaika kutoka pande zote za dunia na kuuambia ulimwengu wote kwamba: "MWISHO UNAKARIBIA
YESU ANAKUJA HIVI KARIBUNI!!! ” Mchungaji akijifuta machozi akauliza: bwana, umejuaje haya yote? Yule mzee akajibu: -Mimi ni mmoja wa wale malaika waliotumwa ulimwenguni. Na Akaendelea
Kumwambia mchungaji: - β€œTafadhali tumia vyombo vya habari vyote na tuma ujumbe huu. Hakuna wakati wa kupoteza "na yule mzee alitoweka .... Kwa muhtasari: Hadithi hii ni ya kweli.
KRISTO ANAKUJA HIVI KARIBUNI !!!!!!!!… TAFADHALI OKOKA LEO .Tayari nimefanya sehemu yangu. Sasa ni zamu yako kueneza injili. K**a upo tayari ku ujumbe huu katika makundi 3, like na kuandika ”
Mungu awabariki ninyi nyote. NAWAOMBEA MUNGU WOTE WANAOSOMA MAKALA HII WATAFAKARI NA KUOKOKA. TAFADHALI, NI HARAKA!!!!! WAFANYE WATU WOTE WASOME MAKALA HII NA WAOKOLEWE !!!!! MUNGU AKUBARIKI.
*_JIFUNZE ZAIDI HAPA*_
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
https://youtu.be/hyzn3KzmNi4

_nakupenda

Karibuni lunch wapendwa katika kristo
12/05/2022

Karibuni lunch wapendwa katika kristo

 Aliyekuwa Mwanasalamu mkongwe hapa nchini Tanzania na Africa Kwa ujumla Dada yetu   hatunaye Tena duniani ametangulia m...
11/05/2022


Aliyekuwa Mwanasalamu mkongwe hapa nchini Tanzania na Africa Kwa ujumla Dada yetu hatunaye Tena duniani ametangulia mbele za haki. Wanasalamu Kwa Umoja wetu tumwombee apumzike Kwa amani huko mbinguni. Pumzika Kwa amani Dada πŸ˜­πŸ˜­βœ‹πŸ€„πŸ€„

*JUMAMOSI KUU**Kusubiri katika Ukimya!* Kwa kifo chake, viumbe vyote vimefanywa upya. Dunia ilitetemeka, giza likaijaza ...
16/04/2022

*JUMAMOSI KUU*

*Kusubiri katika Ukimya!*
Kwa kifo chake, viumbe vyote vimefanywa upya. Dunia ilitetemeka, giza likaijaza nchi yote, jua likafifia (Lk 23: 44-45) kila kitu kipo katika utulivu. Leo Kanisa linatualika tusubiri kwenye kaburi la Bwana, tukitafari mateso yake, kifo na kushuka kwake kuzimu, tukisubiri katika sala na kutarajia ufufuko wake. Mama Maria yupo nasi, yeye ambaye aliyaweka yote moyoni mwake (Lk 2:19). Leo hii katika miji yetu, kuna kelele za kila aina. Angani kuna kelele, barabarani kuna kelele, kelele nyumbani na hata katika Makanisa. Na zaidi ya yote kuna kelele katika akili zetu na mioyo yetu. Tunapaswa kujenga ukimya, kwa sababu neno la Mungu halisikiki katika kelele za siku hizi. Hakuwezi kuwa na uhusiano wa kweli na Mungu k**a hamna ukimya. Siku hizi watu wanaogopa ukimya hata katika sala. Katika ukimya tutagundua mengi sana kuhusu nafsi zetu, udhaifu wetu, na uzuri wetu. Tusubiri na Maria katika kaburi la Yesu kwani Yesu anatuambia kitu cha pekee na muhimu kabisa. Pengine ni kitu ghani…..? Ngoja nimsikilize kwa makini kabisa. Pengine ananiambia mimi, mwanangu NAKUPENDA SANA

Kwa ajili ya Mateso makali ya Bwana wetu Yesu Kristo, utuhurumie sisi na Dunia nzima πŸ‘πŸ‘
16/03/2022

Kwa ajili ya Mateso makali ya Bwana wetu Yesu Kristo, utuhurumie sisi na Dunia nzima πŸ‘πŸ‘

Ee bwana,kumbuka rehema zako na fadhili zako,maana zimekuwako tokea zamani.Adui zetu wasifurah kwa kutushinda.Ee mungu w...
15/03/2022

Ee bwana,kumbuka rehema zako na fadhili zako,maana zimekuwako tokea zamani.Adui zetu wasifurah kwa kutushinda.Ee mungu wa israel utukomboe katika taabu zetu zote.mchana mwemah.

Pilato anamhukumu Yesu ingawa hajui kosa lake,anawaogopa wayahudi.Ee Yesu uliyepata mateso makali kwa ajili yetu utuhuru...
12/03/2022

Pilato anamhukumu Yesu ingawa hajui kosa lake,anawaogopa wayahudi.Ee Yesu uliyepata mateso makali kwa ajili yetu utuhurumie kwa maana sisi tu wakosefu daima.Amina

Address

P. O Box 500 Iringa
Iringa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UMOJA wa Wakristo Africa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to UMOJA wa Wakristo Africa:

Share