Kanisa la Ufunuo Iringa

Kanisa la Ufunuo Iringa Tupo kihesa sokoni chini ya mtumishi wa mungu nabii jembe la yesu.

28/09/2023
27/05/2023

Kuna nyakati tunapitia tunakata tamaa tunaona hatuwezi tena kujipambania na hatuoni wa kutusaidia lakini MUNGU huwa anafanya kazi kwenye level ya tatizo k**a hilo

11/03/2023

Nipende kukukaribisha kwenye ibada ya jumapili 12/3/2023.

Kanisa letu lipo Kihesa Sokoni,

Mungu wetu anatenda Anatenda.

11/03/2023

Mwaka 2023 ni mwaka wako wa USHUHUDA.

11/03/2023

Vita ya kiroho ni mbaya kuliko vita unayoiona katika ulimwengu wa mwili.

29/11/2022

Mungu wa Jembe la Yesu hajawahi kushindwa,Anakuponya leo katika jina la Yesu.

29/11/2022

Huhitaji kusimulia habari za Elia, M***a, Yakobo, na watumishi wa Mungu wengine walio pita kwamba walifanya hili na lile, tunachotaka kuona ni nini Mungu anafanya kwako leo hii, sababu Mungu hajawahi kubadilika.

29/11/2022

Vinavyofanyika katika ulimwengu wa Giza ni copy tu harisi iko kwa Mungu.

Address

Iringa Kihesa Sokoni
Iringa
51000

Opening Hours

15:00 - 18:00

Telephone

+255622106498

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kanisa la Ufunuo Iringa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category