Habari Za Yesu

Habari Za Yesu 16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye

ILi uone matokeo kiroho na kimwili, wekeza katika maombi.
20/11/2023

ILi uone matokeo kiroho na kimwili, wekeza katika maombi.

ukipenda waweza sema Amina
18/04/2023

ukipenda waweza sema Amina

“Umtwike Bwana mzigo wako naye atakutegemeza, Hatamwacha mwenye haki aondoshwe milele.”  — Zaburi 55:22
05/04/2023

“Umtwike Bwana mzigo wako naye atakutegemeza, Hatamwacha mwenye haki aondoshwe milele.”
— Zaburi 55:22

Lakini yeye aijua njia niendeayo; Akisha kunijaribu, nitatoka k**a dhahabu. - [Ayubu 23:10]Mungu wa milele ndiye makazi ...
04/04/2023

Lakini yeye aijua njia niendeayo; Akisha kunijaribu, nitatoka k**a dhahabu. - [Ayubu 23:10]

Mungu wa milele ndiye makazi yako, Na mikono ya milele i chini yako. Na mbele yako amemsukumia mbali adui; Akasema, Angamiza. - [Kumbukumbu la Torati 33:27]

shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu. [1 Wathesalonike 5:18]

tena mmeyasahau yale maonyo, yasemayo nanyi k**a kusema na wana, Mwanangu, usiyadharau marudia ya Bwana, Wala usizimie moyo ukikemewa naye; - [Waebrania 12:5]

Yesu akajibu, Huyu hakutenda dhambi, wala wazazi wake; bali kazi za Mungu zidhihirishwe ndani yake. - [Yohana 9:3]

Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu. - [Yohana 16:33]

Msifadhaike mioyoni mwenu; mnamwamini Mungu, niaminini na mimi. - [Yohana 14:1]

Nasi twajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampendao katika kuwapatia mema, yaani, wale walioitwa kwa kusudi lake. Maana wale aliowajua tangu asili, aliwachagua tangu asili wafananishwe na mfano wa Mwana wake, ili yeye awe mzaliwa wa kwanza miongoni mwa ndugu wengi. - [Warumi 8:28,29]

20/03/2023
Jiandae Yesu yupo karibu KURUDI
15/03/2023

Jiandae Yesu yupo karibu KURUDI

Vaeni
09/03/2023

Vaeni

😭😭
03/03/2023

😭😭

26/02/2023
🙏
26/02/2023

🙏

Address

Iringa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Habari Za Yesu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share