Kihesa SDA Church

Kihesa SDA Church Kihesa SDA Church habari njema za wokovu na matukio

Twendeni Tukapinge Ukatiri na Kuokolewa na Yesu
18/03/2024

Twendeni Tukapinge Ukatiri na Kuokolewa na Yesu

09/03/2024

Jiandae Kukutana na Tumaini Kihesa Net Event

13/02/2024

Muonekano Wa Kaanisa la Mkimbizi SDA zamani Kihesa kwa Sasa Shiriki Pamoja nasi Kuifanya Kazi hii imaluzike na Hapa Kwa majaliwa ya Mwenyezi Mungu ndiko Kihesa Net Event itanyika 2024

Hii ndio hatua  Tuliyofikia Kihesa SDA Church Mnakaribishwa Kushiriki Mbaraka Huu
18/07/2023

Hii ndio hatua Tuliyofikia Kihesa SDA Church Mnakaribishwa Kushiriki Mbaraka Huu

Usipange Kukosa Mbaraka Huu Kwa kutuma Sadaka yako 0752104334 Jina Kihesa S D A church.
27/04/2023

Usipange Kukosa Mbaraka Huu Kwa kutuma Sadaka yako 0752104334 Jina Kihesa S D A church.

Ndivyo muonekano Wa kanisa la Waadventista Wasabato Mkimbizi S D A zamani kihesa S D A na tunatarajia  kuweka Jiwe la Ms...
21/04/2023

Ndivyo muonekano Wa kanisa la Waadventista Wasabato Mkimbizi S D A zamani kihesa S D A na tunatarajia kuweka Jiwe la Msingi Tarehe 29/04/2023 Mnakaribishwa Sana Kushiriki mbaraka Huu Kwa kutuma Sadaka yako Kupitia Mpesa Number 0752104334 Jina ni Kihesa SDA Church

Kwa Wa kazi Wa Iringa Mibaraka hii Inawahusu Karibuni Sana Katika Viwanja nya Ngome Shule ya Msingi
15/03/2023

Kwa Wa kazi Wa Iringa Mibaraka hii Inawahusu Karibuni Sana Katika Viwanja nya Ngome Shule ya Msingi

Nyote Mnakaribishwa Sanaa Mkimbizi SDA Church
11/01/2023

Nyote Mnakaribishwa Sanaa Mkimbizi SDA Church

30/12/2022

Kanisa La Waadventista Wasabato Mkimbizi SDA Church Kihesa Linawatakia Sabato Njema Sana Katika Kuhitimisha Mwaka 2022 nyote Muwe Na Sabato Njema

Kanisa La Wasabato Mkimbizi SDA Church Zamani Kihesa SDA Church Linawakaribisha Kwenye Juma Maalumu la maombi Lenye Neno...
11/11/2022

Kanisa La Wasabato Mkimbizi SDA Church Zamani Kihesa SDA Church Linawakaribisha Kwenye Juma Maalumu la maombi Lenye Neno Kuu lisemalo Kwamba Usinun'gunike Safari Inaendelea na Fungu Kiongozi Ni Hesabu 21:5 .Juma Hili Litaongozwa na Mch Stephano Bomani Mchungaji Wa Mtaa Wa Kihesa Iringa

Ndivyo Kazi ya kumjengea Bwana Hekalu inavyoendelea Kihesa SDA Church Karibuni Tubarikiwe Sote na kwa hakika Wale mnaotu...
25/07/2022

Ndivyo Kazi ya kumjengea Bwana Hekalu inavyoendelea Kihesa SDA Church Karibuni Tubarikiwe Sote na kwa hakika Wale mnaotuma Sadaka Zenu za Ujenzi Mbarikiwe Sana
Kwa ambao mnapenda Kutoa Sadaka Karibuni sana Tubarikiwe Sote Kupitia M-PESA No 0752104334 Jina Ni Kihesa SDA Church Barikiwa Sana.

20/07/2022

Hakika Kihesa SDA Church tumeuona Mkono Wa Bwana Ukitenda jambo Shiriki Mbaraka huu Wa Ujenzi Wa Kanisa Kupitia M-PESA No 0752104334 jina Ni Kihesa SDA Church ili Kutoa Sadaka Yako kisha Bwana atatenda Jambo

Address

Shayo
Iringa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kihesa SDA Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Kihesa SDA Church:

Share