Siloam Gospel CHOIR

Siloam Gospel CHOIR Siloam gospel choir ni kwaya inayopatikana masumbwe geita ktk kanisa la church of God (Hema La ukombozi, Healing, redemption and Deriverence) Karibuni sana

Fatilia Katika Channel yetu ya YouTube utapata nyimbo zetu zote na Mungu akubariki sana
10/12/2025

Fatilia Katika Channel yetu ya YouTube utapata nyimbo zetu zote na Mungu akubariki sana

Siloam Cogt Masumbwe Choir - Wape SalaamALBUM - WAPE SALAAMVIDEO BY - MBC HOT Media Production► Subscribe to : ► Apple Music : https://music.a...

26/09/2025

Siloam Gospel singers ni kwaya inayopatikana Masumbwe Geita

Jubileee
26/09/2025

Jubileee

SILOAM GOSPEL SINGERS JUBILEE

07/09/2025

15 seconds · Clipped by Leonard Robert Paul · Original video "Shangwe - Siloam Cogt Masumbwe Choir (Official Music Video)" by Bechuu Honex

04/09/2025

Siloam Masumbwe wakihudumu

04/09/2025

Siloam Gospel kwaya wakihudumu katika ibaada ya jpili

Siloam Gospel kwaya kutoka COGT masumbwe wakihudumu katika ibaada
12/02/2025

Siloam Gospel kwaya kutoka COGT masumbwe wakihudumu katika ibaada

16/04/2019
05/04/2019

Tunahitaji maombi yenu ili huduma yetu ya uimbaji izidi kuwa ya kimataifa zaidi

28/11/2018

Tunahitaji maombi yenu katika safari yetu kuelekea Nairobi Katika huduma na Mungu wa Mbinguni awabariki Amen.

07/08/2018

SOMA HII STORY UNAWEZA UKAJIFUNZA KITU.
Kijana mmoja alisafiri kwa meli na rafiki zake,
wakiwa katikati ya safari yao meli ilianza
kuzama. Watu wengi pamoja na rafiki wa yule
kijana walikufa maji wakati wanajaribu kujiokoa
kwa kuogelea, lakini yule kijana alifanikiwa
kushika ubao ulioelea majini akaanza kuelea nao,
maji yalimpeleka hadi kisiwa cha mbali sana
ambako hakukuwa na watu wala wanyama
isipokuwa wadudu tu! Alifika ufukweni amechoka
sana na asiyeamini tukio lililotokea, akaishi huko
kwa kula matunda. Aliweza kujenga ka-kibanda
kwa shida sana maana hakuwa na shoka wala
panga, hatimaye akaanza maisha mapya.
Aliishi muda mrefu kisiwani na tayari alishazoea
mazingira yale ya shida japo shida haizoeleki.
Mara zote nyakati za jioni aliwasha moto kwa
kupekecha vijiti. Siku moja k**a kawaida yake
aliwasha moto nje karibu na kibanda chake, aliota
moto muda mrefu hatimaye akapitiwa na usingizi.
Alilala hapo hapo hadi usiku wa manane
aliposhtushwa na joto kali lisilo la kawaida.
Kumbe moto ulishika nyasi za kibanda chake na
kibanda chote kikaungua moto.Alilia sana na
kumlaani sana Mungu kwa mateso hayo akisema
"Hivi Mungu nimekukosea nini mpaka unitese
hivi? Pamoja na shida zote hizi bado
unaniongezea shida nyingine, umeteketeza makazi
yangu ilhali nimejenga kwa shida, Hukuridhika
kunitenga mbali na familia yangu nilipoishi kwa
raha? Hukuridhika kuwaua rafiki zangu wote
baharini? Kwanini Mungu umekuwa mkatili hivi?
Bora nife tuu maana nimeshachoshwa na hizi
shida!" akaendelea kulalamika na kumlaani Mungu
hadi kukapambazuka.
Ilipofika asubuhi aliiona meli ikija kwa mbali
kuelekea alipo, alishangaa maana hakuna meli
yoyote inayoweza kwenda kisiwa kile labda k**a
imepotea njia. Meli ilipofika ufukweni yule kijana
akaifuata, alienda moja kwa moja hadi kwa
kapteni.Kapteni akamwambia "tuliona moto mkali
sana usiku tukahisi ni meli inawaka moto
tukasema tuje ili tutoe msaada..kwa kweli
tumetembea masaa mengi sana hadi kufika hapa,
mshukuru Mungu maana ametumia moto kutuleta
hapa" yule kijana kusikia hivyo alilia sana,
akajilaumu kwa jinsi alivyo mnung'unikia Mungu.
Akaelewa kuwa Mungu ana njia nyingi za kuleta
msaada kwa mtu. Akapiga magoti akatubu huku
akimshukuru Mungu. Safari ya kurudi nyumbani
ikaanza.
FUNDISHO: Wakati mwingine Kuna mambo
mabaya huwa yanatokea katika maisha yetu
yanayotufanya tuone k**a Mungu ametusahau.
Tunamnung'unikia na kumlaumu Mungu bila
kujua kuwa Mungu ana njia nyingi sana kutuletea
msaada. Njia za Mungu huwa zinaonekana k**a
ujinga fulani, lakini kiukweli ujinga wa Mungu
ndiyo akili kubwa ya mwisho ya mwanadamu.
Tunasahau kuwa mabaya tunayokutana nayo
yanafanya kazi kwa Manufaa ya hatma zetu.
Unaweza fukuzwa kazi usijue kumbe ndio
unaelekea katika kazi bora zaidi, unaweza
kuachwa na mtu uliyempenda sana ukadhani
ndiyo mwisho wa maisha kumbe Mungu
amekuandalia mtu mwingine mwenye mapenzi ya
dhati mtakayefikia malengo ya kujenga familia,
unaweza kukataliwa na kutengwa na ndugu
kumbe Mungu amekuandalia watu-baki
watakaofanikisha ufikie malengo yako pasipo
masimango ya ndugu, hata rafiki wanaweza
kukusaliti kumbe Mungu amewaondoa makusudi
ili kukuepusha na mabaya waliyoyapanga juu
yako. Sasa usimlaumu Mungu ukadhani
anakuzidishia matatizo, hapo anatafuta njia ya
kuyaondoa hayo matatizo.
Mshukuru Mungu kwa Kila Jambo, kwakuwa
hajawahi kukuwazia mabaya. Anakuwazia mema
sikuzote.

Tafadhari Share k**a umeipenda na marafiki
zako wajifunze.......

Address

Masumbwe
Geita

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255787984883

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Siloam Gospel CHOIR posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share