12/06/2026
Ipo Neema katika utele wake kwa ajili ya Watu kuipokea. Je uko tayari kupokea hii neema?
Usikose kuabudu nasi hapa ECG TJN Tawi la Geita mjini kuanzia saa 2 asubuhi kanisa lipo nyuma ya stendi ya haice mtaa wa Tambukareli.
Tunaangusha ngome za kichawi nakupokea Neema na kuanza kutawala k**a Taifa la Yesu.
Wasiliana nasi kwa namba zilizopo hapo kwenye kipeperushi.
Prophet Shepherd Bushiri
Prophetess Mary Bushiri
ECG The Jesus Nation Church Tanzania