Tagjrtgeita

Tagjrtgeita TAG - Jerusalem Revival Temple, ni Kanisa la Kipentekoste lililopo Mjini Geita, mkabala na Shule ya Sekondari Geita.

Ukurasa huu ni maalum kwa watu wote kujifunza mambo yahusuyo Ufalme wa Mungu toka kwa Mchungaji Kiongozi wa Kanisa, Askofu Simon Masunga.

Usikose.. TAG, JRT GEITA MJINI. Usipate shida kutufikia, wasiliana nasi kwa maelekezo 0745051944.
30/08/2025

Usikose.. TAG, JRT GEITA MJINI. Usipate shida kutufikia, wasiliana nasi kwa maelekezo 0745051944.

Usikose.
28/08/2025

Usikose.

Bado siku 3 tu ile siku ya kumuinua Yesu ifike. Jiandae kumrudishia Mungu utukufu kwa yale amekutendea mpaka sasa.
28/08/2025

Bado siku 3 tu ile siku ya kumuinua Yesu ifike. Jiandae kumrudishia Mungu utukufu kwa yale amekutendea mpaka sasa.

Shalom mtu wa Mungu!Kanisa la TAG-JRT, GEITA tumekuandalia mkutano mkubwa wa Injili utakaofanyikia Uwanja wa CCM Kalanga...
21/06/2025

Shalom mtu wa Mungu!
Kanisa la TAG-JRT, GEITA tumekuandalia mkutano mkubwa wa Injili utakaofanyikia Uwanja wa CCM Kalangalala Geita mjini. Upatapo ujumbe huu mtaarifu na rafiki yako naye amtaarifu rafiki yake kua saa ya maombezi na kufunguliwa imefika.

Ni tarehe 22 hadi 29/06/2025
Waimbaji;-
Emmanuel Mgogo
Joseph Vedasto
Mathias Mwanyamaki
Kwaya zote za Geita
Vikundi vya kusifu na kuabudu
Na waimbaji wengine wengi.

Nyote mnakaribishwa!
💥💥💥💥💥💥

Hakika utabarikiwa kwa kweli!
19/02/2025

Hakika utabarikiwa kwa kweli!

17/11/2024
Siku ya pili ya maombiJumanne, tarehe 05:11:2024*B. TOBA NA UTAKASO**_Maandiko: Marko 2:5-10; Mathayo 6:12; 1 Yoh. 1:8-1...
04/11/2024

Siku ya pili ya maombi
Jumanne, tarehe 05:11:2024

*B. TOBA NA UTAKASO*
*_Maandiko: Marko 2:5-10; Mathayo 6:12; 1 Yoh. 1:8-10; Zab. 32:1-2; 1 Thes. 5:23-24; Yoh. 15:3._*

*Ni siku ya kufanya toba na utakaso.* Tumwambie Bwana Yesu Kristo atusamehe na kuendelea kututakasa kwa Neno lake:-
1. Binafsi.
2. Kifamilia.
3. Kanisa.
4. Taifa 🇹🇿.

Ungana nasi katika kipindi hiki cha maombi ya siku 21 yakiambatana na mafungo ya masaa 12!
04/11/2024

Ungana nasi katika kipindi hiki cha maombi ya siku 21 yakiambatana na mafungo ya masaa 12!

KARIBU SANA KATIKA IBADA YA JUMAPILI HII TAREHE 08:09:2024.Kumbuka kumwalika na ndugu mmoja au zaidi!
07/09/2024

KARIBU SANA KATIKA IBADA YA JUMAPILI HII TAREHE 08:09:2024.
Kumbuka kumwalika na ndugu mmoja au zaidi!

Address

Barabara Ya Mayaya-Geseco
Geita

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tagjrtgeita posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share