Efatha Church Geita

Efatha Church Geita Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Efatha Church Geita, Christian church, Geita.

NAIBARIKI IJUMAA YANGU. Adui zangu wote wamewekwa Chini ya Miguu yangu maana Bwana YESU aligongomelewa hatia zote dhidi ...
29/05/2026

NAIBARIKI IJUMAA YANGU.

Adui zangu wote wamewekwa Chini ya Miguu yangu maana Bwana YESU aligongomelewa hatia zote dhidi Yangu na hukumu zake katika Msalaba pale Kalvari. Aliweka madai yao yote Chini ya Miguu Yake na Akashangilia, na Mimi leo NASHANGILIA.

YESU ni Mzuri.

28/05/2026

Wewe uliye wa Geita na maeneo ya jirani! Karibu tumsifu Mungu wetu katika MKESHA wa siku ya IJUMAA!!!
Hakika Bwana atatuonekania!

NAIBARIKI ALHAMISI YANGU. BWANA ndiye Mchungaji wangu; sitapungukiwa na Chakula, sitapungukiwa na Furaha, sitapungukiwa ...
28/05/2026

NAIBARIKI ALHAMISI YANGU.

BWANA ndiye Mchungaji wangu; sitapungukiwa na Chakula, sitapungukiwa na Furaha, sitapungukiwa na Kicheko, sitapungukiwa na Amani, sitapungukiwa na Tafrija, sitapungukiwa na Karamu, sitapungukiwa na Utele, maana Mimi Nimebarikiwa na BWANA.

Haleluya, YESU ni Mzuri.

NAIBARIKI JUMANNE YANGU. BWANA yu mbele yangu daima; Kwetu kutakuwa Kwema, hakutakuwa na magomvi wala magonjwa wala vifo...
26/05/2026

NAIBARIKI JUMANNE YANGU.

BWANA yu mbele yangu daima; Kwetu kutakuwa Kwema, hakutakuwa na magomvi wala magonjwa wala vifo, wala ukata.

Haleluya, YESU ni Mzuri.

1 Samweli 2:1
06/08/2025

1 Samweli 2:1

Hii sio ya kukosa kijana
06/08/2025

Hii sio ya kukosa kijana

25/12/2024
karibu katika seminar ya neno la Mungu hapa Runzewe Geita seminar itaongozwa na Mtumishi wa Mungu Edgar Mwakipesile mch,...
19/07/2024

karibu katika seminar ya neno la Mungu hapa Runzewe Geita seminar itaongozwa na Mtumishi wa Mungu Edgar Mwakipesile mch, kiongozi Kanisa la Efatha Geita, kuanzia tar 19-21/07/2024 muda ni saa 3:00 asubuhi hadi sa 6:00 mchana saa 9:00 mchana hadi saa 12:00 jioni

Karibu sana katika ibada, maalum ya ukombozi na uponyaji na mchungaji Edgar  Mwakipesile nikuanzia tarehe 5-6/07/2024 ka...
04/07/2024

Karibu sana katika ibada, maalum ya ukombozi na uponyaji na mchungaji Edgar Mwakipesile nikuanzia tarehe 5-6/07/2024 katika kanisa la Efatha Geita kanisa lipo jirani na Haga garage, usipange kukosa muda ni saa 9:30 alasili hadi 12 joini

GLOBAL SUNDAY SERVICE, 25.02.2024 EFATHA CHURCH MWENGE DAR ES SALAAM, TANZANIA.APOSTLE J.E MWINGIRA  LIVE  AT EFATHA CHU...
25/02/2024

GLOBAL SUNDAY SERVICE, 25.02.2024 EFATHA CHURCH MWENGE DAR ES SALAAM, TANZANIA.

APOSTLE J.E MWINGIRA LIVE AT EFATHA CHURCH GEITA

Address

Geita

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Efatha Church Geita posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Efatha Church Geita:

Share