Pastor Lucas Joseph

Pastor Lucas Joseph Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Pastor Lucas Joseph, Evangelical church, Geita.

Ufunuo wa Yohana 18:4
Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake.

Mithali 11:9
03/06/2026

Mithali 11:9

18/02/2026
Tunapaswa kuwa wa Beroya wa zama hizi, tusiridhike na tunachokijua pekee bali tuzidi kuyachunguza maandiko.😊Matendo 17:1...
24/01/2026

Tunapaswa kuwa wa Beroya wa zama hizi, tusiridhike na tunachokijua pekee bali tuzidi kuyachunguza maandiko.😊
Matendo 17:11 & Isaya 34:16
Karibu sana chuo cha umisheni cha sayuni TUSOME PAMOJA na tuhitimu pamoja BURE bila malipo yoyote ... Ufunuo 21:6
Je una kiu.??

We should be Bereans of these times, not content with what we know alone but continue to examine the scriptures.😊
Acts 17:11 & Isaiah 34:16
Welcome to Zion Mission College, LET'S LEARN TOGETHER and graduate together FOR FREE... Revelation 21:6.
Are you thirsty?

17/01/2026

Hakuna chenye maana ambacho ni chepesi kukifanya...
😊📌

Karibuni sana..
07/01/2026

Karibuni sana..

Nawasalimu kwa jina la Yesu Kristo, nimechelewa kuweka tangazo hili la darasa la biblia ambalo linatolewa BURE kabisa la...
23/12/2025

Nawasalimu kwa jina la Yesu Kristo, nimechelewa kuweka tangazo hili la darasa la biblia ambalo linatolewa BURE kabisa lakini muda bado upo wa kujiunga. Nawakarubisha sana ndugu jamaa, marafiki, kwa wakristo wa madhehebu yote na wasio wakristo.

Unaweza kusoma online ( kwenye mtandao) au kufika katika vituo vyetu vilivyopo karibu mikoa yote Tanzania.

Kwa mawasiliano na maelekezo zaidi nitafute kwa namba hii hapa chini:
0785885988

Au njoo messenger

Address

Geita

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pastor Lucas Joseph posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Pastor Lucas Joseph:

Shortcuts

Share