Prophet EM.Thadeo

Prophet EM.Thadeo This is religious institution

HUU NI MKOMO WA BWANA.  Gabriel, Akuletee habari Njema mwezi huu wa Sita!
02/06/2026

HUU NI MKOMO WA BWANA.
Gabriel, Akuletee habari Njema mwezi huu wa Sita!

SIRI YA MWEZI WA SITA HII HAPA:..Ndipo nitawaamria Baraka yangu iwe juu yenu MWAKA WA SITA(6), nayo utazaa matunda hesab...
01/06/2026

SIRI YA MWEZI WA SITA HII HAPA:..Ndipo nitawaamria Baraka yangu iwe juu yenu MWAKA WA SITA(6), nayo utazaa matunda hesabu ya miaka mitatu...
(Walawi 25:21)
Maombi yangu Mwezi Huu wa Sita, BWANA YESU aiamuru Baraka, Neema, Mafanikio, iliyozuiliwa KWAKO Miezi iliyopita, na Mwezi huu, BWANA Akupe Matunda Kwenye Kazi ya MIKONO YAKO, Biashara, Kilimo n.k Katika Jina la YESU KRISTO!
**a Unaamini Mwezi huu, Neno Hili litatimia Kwako, Kiri Sema Kisha Samabaza Ujumbe kwa Marafiki SITA.

Hallelujah! Jesus as Done Again!
10/05/2026

Hallelujah! Jesus as Done Again!

SIRI YA MWEZI WA TANO HII HAPA  ZAIDI YA WENZAKO:Wakati Nikiomba MUNGU akanifunulia namba tano; ni namba ya Maongezeko, ...
01/05/2026

SIRI YA MWEZI WA TANO HII HAPA
ZAIDI YA WENZAKO:
Wakati Nikiomba MUNGU akanifunulia namba tano; ni namba ya Maongezeko, imebeba Kibali Cha Kuongezwa! Angalia Maandiko Haya:-

Mwanazo 43:34 Chakula kilikuwa kikichukuliwa kutoka mezani pa Yusufu na kupelekwa kwao, lakini Benyamini alipewa MARA TANO zaidi ya kiasi walichopewa ndugu zake.
Maandiko Hayo; Unaona Benyamini alivyopata Kibali kwa Nduguye Yusufu wakati Ndugu zake wanapewa Kidogo, yeye alipewa Mara TANO Zaidi;
Mwezi Huu; MUNGU Akupe Kibali Cha Kupendelewa, Upokee Mbaraka Mara TANO Zaidi Katika Jina la YESU Kristo!
×5

24/03/2026

KONGAMANO KUBWA LA KINABII LA KUVUKA NA KUMILIKI.
NI SIKU(2) ZA KUVUKA NA KUMILIKI
NI TAREHE 28&29/3/2026
KWENYE UPAKO WA KUVUKA NA KUMILIKI
NENO KUU
Kumbukumbu la Torati 11:11
lakini nchi mwivukiayo kuimiliki ni nchi ya vilima na mabonde, nayo hunyweshwa maji ya mvua ya mbinguni;
? UNAHITAJI KUMILIKI? UMECHOKA NA HALI MBAYA YA KIUCHUMI UNAYOPITIA? UMECHOKA NA KUFILISIKA KILA MWAKA? UMECHOKA NA MADENI? UMECHOKA NA KUFANYA BIASHARA ZINAKUFA? KUKAA BILA BIASHARA YOYOTE? MIFIGO INAKUFA? UNAPATA HASARA?
BWANA YESU AMEONA HAYO MATESO YAKO, NA KUMTUMA MTU WA MUNGU KWENYE MAISHA YAKO KUMALIZA HAYO MATESO YAKO YA KIUCHUMI
NI TAREHE 28/29 SIKU MBILI TU ZITAKAYOBADILISHA HISTORIA YAKO YA KIUCHUMI,
UANZE MWAKA NA MUUJIZA WAKO WA KIUCHUM.
KUBWA LITAKUWA LA KUSHUGHULIKIA MKONO WAKO WA KUSHOTO NA KUACHILIA NEEMA YA UTAJIRI KWENYE MKONO WAKO.
, TUTAVUKA KWENYE KISIMA CHA NEEMA KUELEKEA UMILIKI WETU.
KONGAMANO ILI TUNASEMA, MWANAUME LAZIMA AWE MWANAUME:
KILA MAMA AJE MUME WAKE TUMALIZE KESI YENU YA KIUCHUMI YA FAMILIA YENU

KARIBU LEO NKWENYE MAOMBI MAKUBWA YA KUSHUGHULIKIA VITA KATIKA NDOAMAOMBI MAKUBWA YATAFANYIKA LIVE YOUTUBE LEO KUANZIA S...
24/03/2026

KARIBU LEO NKWENYE MAOMBI MAKUBWA YA KUSHUGHULIKIA VITA KATIKA NDOA

MAOMBI MAKUBWA YATAFANYIKA LIVE YOUTUBE LEO KUANZIA SAA 9:30 USIKU

NI KWA AJILI YA WALIOINGIA KWENYE NDOA NANAMBAO BADO WANAPAMBANA KUINGIA KWENYE NDOA

SHARE UJUMBE HUU KWA RAFIKI TUSAIDIE NDOA ZETU ZISIMAME.

23/03/2026

USIKU WA HABARI NJEMA(IJUMAA KUU)
PALE MSALABANI ALISEMA....IMEKWISHA(USIKU WA KUMALIZA KESI ZAKO ZOTE)
TUTAUENDEA MSALABA WA YESU NA KUGUSA MSALABA KUMALIZA KESI ZOTE ZILIZOWAI KUKUTESA
TUTAPEWA MAJI YALIYOTOKA UBAVUNI MWA YESU KRISTO KWA AJILI YA UPONYAJI MKUU
NI USIKU WA KIHISTORIA WA KUMALIZA KESI ZA NDOA, UZAO, BIASHARA, MAGONJWA , NA KILA AINA YA MATESO
VAZI LA USIKU HUO NI VAZI JEKUNDU KUASHIRIA DAMU YA YESU IMEMWAGIKA MSALABANI KWA AJILI YA UKOMBOZI WA WOTE
POPOTE ULIPO USIPANGE KUKOSA KWENYE USIKU HUU WA KIHISTORIA
NI IJUMAA KUU 3/4/2026. KUANZIA SAA 12-SAA 7 USIKU.
HAKIKISHA UNAPOKUJA, NJOO UMEANDIKA KESI ZAKO ZOTE, PICHA ZA FAMILIA, WAGONJWA, WALIOPOOZA, WALEMAVU, VIWETE WATARAJIE KUTEMBEA USIKU HUO MAANA KESI ZOTE ZINAENDA KUISHA.

22/03/2026

[22-3-2026] SUNDAY PROPHETIC SERVICE, OPERATION EFATHA II Prophet EM Thadeo II

Address

Langoni
Gairo

Telephone

+255768484617

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Prophet EM.Thadeo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share